princebujonde
Senior Member
- Jan 7, 2013
- 198
- 55
Kwa wale mnaolitambua somo la falsafa (philosophy) kuna dhana moja potofu sana kwamba uyunani ya kale(ancient Greece) ndio wa kwanza kustaarabika na kujenga msingi wa'' wisdom''. hata Gwiji wa historia Hegel aliwahi kujikwaa akisema ''Africa has no part of history of the world--it is just a mere impact of contact between Europe and Asia'' lakini sasa imekua wazi kwamba Africa has its own wisdom famously is called ''Ethno philosophy or sage philosophy''. Shukrani za pekee ziwaendee Magwiji wazamivu kama Chinua Achebe, Ngugi wa Thio'ngo, Okot p Bitek, Alexis Kagame, Maulana Karenga (Nguzo Saba), Molefi Ikwe na wengine wengi waliotetea dhana ya Umajumuni wa Africa. Sasa ni wakati wetu kuisoma na kuielewa dhana hii ya falsafa ya Kiafrica(African Philosophy).
Nawatakia fikra Pevu.:israel:
Nawatakia fikra Pevu.:israel: