GE2025 Hata ajira hawa wanazo wamezificha wanasuburi wabustiwe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kipindi cha Kikwete maandamano yalikuwepo kila wakati. Wanafunzi wa chuo kitu kidogo barabarani, madaktari na watumishi wengine the same. Jiwe ndio akaja kuvuruga maandamano kupiga viwete, wazee na kuleta hofu
 
Kipindi cha Kikwete maandamano yalikuwepo kila wakati. Wanafunzi wa chuo kitu kidogo barabarani, madaktari na watumishi wengine the same. Jiwe ndio akaja kuvuruga maandamano kupiga viwete, wazee na kuleta hofu
Miaka ya zamani wanavyuo hasa wa UDSM walikuwa wanaandamana almost kila mwaka mabomu ya machozi lazima yarindime pale mlimani, ila sasa hivi viongozi wa wa hao wanavyuo ni machawa pro max
 
Unamaanisha jamaa hadindishi hadi atiwe doleπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Mwenye idadi kubwa ya watu ndio mshindi! (Kama uchaguzi mnaoupika)

Serikali inaelewa hilo, wakitoka tarehe 29...mmeondoka!
 
Hela na rasilimali zipo tatizo ni vipaumbele tu. China wanaotupa misaada kule kwao ubunge ni kazi ya kujitolea hapa kwetu tuna wabu ge 200+ ambao ni full time employed kwenye payroll ya serikali

Tukiondoa mishahara na kiinua mgongo kwa wabunge kila baada ya miaka mitano pesa tutakayopatikana itapungiza tatizo la ajira kwa kiasi kikubwa sana.

Tukiondoa mafao ya wenza wa wastaafu pesa itakayopatikana inatosha kutengeneza matundu ya vyoo vya shule ambayo tunajengewa kwa misaada

Pesa na rasilimali zipo shida ni vipaumbele vyetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…