payless marketplace
Member
- Aug 28, 2024
- 9
- 22
HATA AKISEMA ANALIPA KODI YEYE, USILALE KWENYE GHETO LAKE......
Hakuna mwanaume ambae hajui hii kanuni, Ila kukumbushana sio dhambi ....
Nakumbuka kuna manzi nilikuwa na mfukuzia tokea tuko darasa la 4,
Mpaka tuna maliza la 7 bado manzi alinikazia ...
Kama bahati tukapangiwa shule moja ya sekondari,
Nikasema Yes! Hapa lazima nimpate, nikajaribu approach mpya,
Marafiki zake wa kike wakawa marafiki zangu wa kubwa,
Nikawa nakaa nao nawapigisha story fupi halafu nawaaga wakiwa bado wanatamani kuendelea kunisikia,
Plan ya pili ilikuwa ni kupata umaarufu pale shule,
Nikawa nacheza mpira nikiwa uwanjani hata nikiguswa kidogo utasikia mademu wakisema " msituumizie jamani " 😅
Tulivoingia form two yule manzi akaacha shule akaenda kuolewa,
Ndio Plan yangu ya kumpata ikawa imefeli 🤣😅....
Huko Juu nimeandika Usiende kwenye Gheto la manzi hata kama kasema analipa kodi yeye???....
Basi fureshii tuendelee, baada ya kumaliza form 4, nikaja kukutana na yule manzi,
Ila saivi ule uzuri wake umepungua, amekuwa na muonekano wa mmama,
Na ana watoto wa 3, mume wake waliachana saivi ana ishi mwenyewe...
Sasa huyu manzi akawa ana lazimisha ukaribu na mimi,
Mara aniite kwake, mara akinikumbushia nilivyokuwa namfukuzia,
Sasa baada ya kunitega kwa muda mrefu, Usiku mmoja mida ya saa 6 usiku akanitumia message niende kwake,
Maana tulikuwa tukikaa mtaa mmoja, Nilipiga hesabu na nilikuwa na ugwadu,
Nilikaa pale kwaanzia saa 6 hadi saa 7 na nusu nikifikiria niende nisiende 😅....
Ilivyofikaa saa nane kamili nikasema liwalo na liwe acha nikachakate mali,
Nikatoka usiku ule nikiomba nisikamatwe na walinzi wanaofanya dolia usiku....
Nikafika hadi kwenye gheto la manzi ila jicho la chini kushoto likawa likicheza,
Nikawa na uwoga nikamuuliza una uhakika kodi unajilipia?
Akasema nisiwe na hofu niwe na amani kabsa,
Tukaingia chumbani, nikiwa nimelala kitandani juu ya silingibodi kulikuwa na uwazi,
Nikamtania kuwa kama ikitokea tumefumaniwa basi mimi nitapanda juu ya silingibodi,
Manzi akacheka sana 😅....
Baada ya maandalizi manzi akajiweka mkaa wa toroli nikachakata mali,
Tukiwa kwenye tukio mara nikasikia mlio wa pikipiki,
Nika stop kwanza na kumuuliza, kuna jirani yako anapikipiki?
Manzi akakaa kimya, mara yule mtu akaja hadi mlangoni na kuanza kugonga mlango ...
Nikamuona manzi akitetemeka, nikaona basiiii leo nimeotewa 😅🤣.....
Basi yule bwana alivyoona mlango haufunguliwi na anasikia sauti ndani,
Akazunguka dirishani nakupiga tochi, sikuwa hata na nguvu ya kujificha,
Alipiga tochi akaona kuna watu wawili chumbani,
Akarudi mlangoni nakuanza kuupiga kwa nguvu, akisema maneno ya vitisho 🥲
Badae akadeshi kama anaondoka akawasha pikipiki akasepa,
Halafu akarudi kwa mguu na kujibanza karibia na mlango,
Mimi nilivyoona kupo kimya, nikavaa boksa, Tu nikasema hizi nguo nyingine zitanipa uzito,
Nikachungulia dirishani sioni mtu nikafungua mlango taratibu mara jamaa huyu hapa mlangoni,
Nikafunga kwa nguvu, akawa akisukuma mlango kwa ndani mimi nasukuma kwa nje 🥹...
Nilifanikiwa kuufunga mlango ila mwamba akuondoka alibaki mlangoni ......
Hii story ni ndefu ila nilifanikiwa kutoka salama Na Mshukuru Mungu Wa Majeshi, Mfalme wa Yuda ....
#Cusho_storyteller