Hata Brazil walifungwa 7 na Germany

Jiliwaze na hii tena, Qatar 15 - 0 Bhutan
 
Tusitazame upande mmoja tu wa brazil kufungwa nyingi...je hao brazil wameshinda mechi ngapi? Zinalingana na stars na je kufungwa? Walifungwa na algeria? Huezi kutulinganisha na brazil sio saizi yetu si vitu vyetu bhutan, Timor hao ndo level yetu
 
Waarabu washukuru walicheza na taifa stars! Wangecheza na ccm wangeibiwa magoli yote!
 
Laana ya kichwa cha mwenda wazimu inatutafuna..............
 
Nulitabiri tano Dada mmoja huku akaongeza mawili kweli yametimia 7 jecha yuko wapi haya matokeo sio halali kabisa must mpira urudiewe jechaaaa
 
Ni ushauri mzuri sana bt kwa sisi wapenda soka matokeo km haya yanauma sana ukiwa unaipenda timu,wasiwasi ni kwamba sioni mipango ya muda mrefu katika kuendeleza soka la vijana ambao watabebeshwa majukum haya watu wako busy wanapiga dili. Ili tufanikiwe ni kuwekeza soka la vijana,kwani hatutaweza kufika mbali kwa kutegemea miujiza aisee....Mungu ibarka Tanzania wadau wa soka watoke usingizini
 
Tusitazame upande mmoja tu wa brazil kufungwa nyingi...je hao brazil wameshinda mechi ngapi? Zinalingana na stars na je kufungwa? Walifungwa na algeria? Huezi kutulinganisha na brazil sio saizi yetu si vitu vyetu bhutan, Timor hao ndo level yetu

unahara tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…