funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,468 Reaction score 31,952 Aug 9, 2025 #1 Wapo wanaojaribu kuvibeza vyama vidogo vya upinzani mfano CHAUMMA wakisahau kuwa walianza kinyonge na walipata umaarufu wao kupitia makada waliohama CCM. 29 OKTOBA Saa kuminambili asubuhi nitakuwa kwenye mstari tayari kabisa kuipiga kura yangu.
Wapo wanaojaribu kuvibeza vyama vidogo vya upinzani mfano CHAUMMA wakisahau kuwa walianza kinyonge na walipata umaarufu wao kupitia makada waliohama CCM. 29 OKTOBA Saa kuminambili asubuhi nitakuwa kwenye mstari tayari kabisa kuipiga kura yangu.