Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Busara kubwa Sana hii!Nguruwe ni haram ila ukikosa chakula ukaona dalili za kifo na hamna chakula chochote kula nyama yake uondoe njaa inaruhusiwa
Ukiwa na njaa mpaka kufa sio? HahahaNguruwe ni haram ila ukikosa chakula ukaona dalili za kifo na hamna chakula chochote kula nyama yake uondoe njaa inaruhusiwa
Kwamba hujui njaa inauwa we mtoto mboga sabaUkiwa na njaa mpaka kufa sio? Hahaha
Ndiyo. Usije ukafa kwa njaa wakati msosi upo.Ukiwa na njaa mpaka kufa sio? Hahaha
Sio kwamba kitimoto ina mafuta yanayosababisha njaa kali?Kwamba hujui njaa inauwa we mtoto mboga saba
Ukiwa umeshiba kitimoto kumchinja shughuli, ukiwa na njaa utakufa tu huku kitimoto ipo pembeni inakuangalia.Ndiyo. Usije ukafa kwa njaa wakati msosi upo.
Inamafuta ambayo nikiyapata naweza kukupakaSio kwamba kitimoto ina mafuta yanayosababisha njaa kali?
Ok boss. Unatisha mno mpaka mafuta.Inamafuta ambayo nikiyapata naweza kukupaka
Mambo ya figisu kama haya yakifanywa na yanga kelele za GSM kuharibu ligi Zina vuma,ila figisu zikifanywa na kolo utasikia ubaya ubwela na mijitu mingine kama huyu eti songeni mbele.Tarehe 22/06/1986 Diego Amando Maradona alifunga goli kwa mkono dhidi ya timu ya Uingereza.
Goli hilo alilofunga dhidi ya Kipa mahiri wa England zama hizo Peter Shilton, mpaka leo limeacha gumzo kwenye dunia ya mpira wa Miguu.
Lakini mwisho wa siku goli hilo ambalo kwa picha za marejeo lilithibitika kuwa ni la mkono, limeendelea kuhesabiwa na kufanya mechi iishe kwa matokeo ya 2-1.
Simba eleweni kuwa kama goli likishahesabiwa na Refa ni goli na likikataliwa na Refa basi linakuwa siyo goli.
Makelele ya wengine achaneni nayo nyie songeni mbele!