TheForgotten Genious JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 2,087 Reaction score 3,156 Apr 16, 2023 #1 Yaani na katiza hapa jangwani maji kibao,mvua inanyesha ila hakuna kelele ya chura,imebidi nishushe kioo na kuchungulia,naona hata lile jengo taa haziwaki π π π π π
Yaani na katiza hapa jangwani maji kibao,mvua inanyesha ila hakuna kelele ya chura,imebidi nishushe kioo na kuchungulia,naona hata lile jengo taa haziwaki π π π π π
M Machaare JF-Expert Member Joined Aug 11, 2022 Posts 821 Reaction score 2,021 Apr 16, 2023 #2 Hali ya utopolo ni tete kesho wameitisha kikao cha dharura kuna watu wanataka wawajibishe
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 Apr 16, 2023 #3 Maji yakizidi chura hawezi kulia! Ukisikia chura analia ujue Maji ni machache!
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 Apr 16, 2023 #4 Mlioko karibu mpeni salamu Haji Manara! Juzi alijishaua kwa maneno ya shombo sana! Muulizeni Je ?