ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
- Thread starter
-
- #21
Yaani huogopi kabisa ndg?Sawa tutaona tu hiyo Jmosi.
Niogope kitu gani??, Kwani Utopolo mna kitu gani cha pekee?.Yaani huogopi kabisa ndg?
watachanganyikiwa FEI TOTO NDANI KALALA MAYELE NDANI KHALID AUCHO NDANI J'mos watacheza kwaitoJumamosi naiona Red nyingine kwa Inonga au Onyango
Labda mtegemee uchawi wenuNiogope kitu gani??, Kwani Utopolo mna kitu gani cha pekee?.
Hatujawahi kutegemea uchawi hata siku moja,sisi huwa tunamtegemea MUNGU tu.Labda mtegemee uchawi wenu
Mkuu ,Weka akiba ya maneno. Mpira hauko hivyo wewe unavyofikiria. Hii ni derby . Lolote laweza kutokea ambalo hukulitarajia.watachanganyikiwa FEI TOTO NDANI KALALA MAYELE NDANI KHALID AUCHO NDANI J'mos watacheza kwaito
j'mos sio mbal utaona mwenyewe mambo yatakavyokuwaMkuu ,Weka akiba ya maneno. Mpira hauko hivyo wewe unavyofikiria. Hii ni derby . Lolote laweza kutokea ambalo hukulitarajia.
Anza kuandaa mikoba ya kubebea tunguri kama bado, huo mtazamo sio kawaida.Bora tu wamepasuliwa.. nchi imetulia kabisa kwanza Waislam wote tuko busy na Ramadan & Royal tour Mama yetu
Na ule moto mlipochoma yale majini yenu pale south juzi au hujaona?Hatujawahi kutegemea uchawi hata siku moja,sisi huwa tunamtegemea MUNGU tu.
Ungekuwa Muislamu ungejua maana yake.Na ule moto mlipochoma yale majini yenu pale south juzi au hujaona?
Utopolo wana wanachezaji gani wa maana? Mbona walipigwa in and out huko CAF?Tuwe wakweli Simba haina wachezaji
Huwezi mtegemea Mugalu, Kagere, Wawa, Onyango, Sadio, Banda, Mzamiru, Nyoni eti hawa wakupe kombe Afrika