Hata huyu jamaa aliyekuwa anafanya kazi Tiktok hataki kuona mtoto wake akitumia mtandao huo

Hata huyu jamaa aliyekuwa anafanya kazi Tiktok hataki kuona mtoto wake akitumia mtandao huo

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
20250120_081532.jpg
 
Sijui nini kinaendelea ila kufanya kazi na kutumia haviendani. Ingekua mtu anasema nimefanya kazi kiwanda cha bia, soda, juice au consumer products izi ndio ningesema kweli.
 
kuna baadhi ya vitu kutumia sio shida swala ni unatumiaje...??
nyie ndo wale wazazi mliokuwa mnasema muziki ni anasa lkn leo hii watu wanautumia huohuo muziki Kutengeneza pesa ndefu mno bila shida yoyote! .
jengeni watoto kuyamudu mazingira yao kuna vitu vya kukataza na kunavitu sio vya kukataza inategemea na uwezo wa akili ya mtu husika!. hata wewe usikute ni mrahibu wa dini lkn mtu akikuambia huwezi kuelewa maana ndo ufahamu wako ulipoishia!
 
Hii Tiki Toku ni janga hapa Nchini, makazini kwenye Free WiFi watumishi ni kukesha huko tu mtu unahitaji huduma lakini unashangaa mhudumu kainamia simu utadhania anasoma taarifa muhimu ghafla unasikia Kasongo Mbona Wewoo. Aiseee Upumbavu mtupu
 
Hahahahah
 
Back
Top Bottom