Hata Joe Biden wa US apunguza kodi katika bei ya mafuta!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Rais Joe Biden wa Marekani, leo ameondoa kodi katika mafuta ili kuwapa nafuu wananchi wake.
Amewataka Magavana wa States za nchi hiyo vile vile wapunguze kodi na tozo katika States zao.

KWETU TZ VIPI?
Hapa Tz kodi na tozo katika mfuta bado zipo kati ya Tshs 800 hadi 900.
 
Wakipunguza unataka CCM ile wapi?
Kuna yule jamaa anataka kila mtanzania mwenye miaka 18 apewe TIN namba alipe kodi.
 
Rais Joe Biden wa Marekani, leo ameondoa kodi katika mafuta ili kuwapa nafuu wananchi wake.
Amewataka Magavana wa States za nchi hiyo vile vile wapunguze kodi na tozo katika States zao.

KWETU TZ VIPI?
Hapa Tz kodi na tozo katika mfuta bado zipo kati ya Tshs 800 hadi 900.
Hapa Tanzania Serikali inatoa 100B kila mwezi kama ruzuku ya mafuta lakini haiwanufaishi wananchi ni bora Serikali izuie kutoa hiyo ruzuku na pesa hiyo ielekezwe ktk maendeo mengine
 
Sidhani kama ulielewa maana halisi ya ruzuku hiyo.
 
Rais Joe Biden wa Marekani, leo ameondoa kodi katika mafuta ili kuwapa nafuu wananchi wake.
Amewataka Magavana wa States za nchi hiyo vile vile wapunguze kodi na tozo katika States zao.

KWETU TZ VIPI?
Hapa Tz kodi na tozo katika mfuta bado zipo kati ya Tshs 800 hadi 900.

Umepotosha. Amependekeza; authority ya kuondoa kodi hana!
 
Back
Top Bottom