Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Beberu anauwezo wa kupunguza Kodi ili awapunguzie wananchi madhila aliyosababisha Kwa kuchochea Kuni mgogoro uliopaisha bei za mafuta.Naona hapa kwetu tozo inabidi pia zipungue.
Hapa Tanzania Serikali inatoa 100B kila mwezi kama ruzuku ya mafuta lakini haiwanufaishi wananchi ni bora Serikali izuie kutoa hiyo ruzuku na pesa hiyo ielekezwe ktk maendeo mengineRais Joe Biden wa Marekani, leo ameondoa kodi katika mafuta ili kuwapa nafuu wananchi wake.
Amewataka Magavana wa States za nchi hiyo vile vile wapunguze kodi na tozo katika States zao.
KWETU TZ VIPI?
Hapa Tz kodi na tozo katika mfuta bado zipo kati ya Tshs 800 hadi 900.
Halina uhusiano na Mada iliyopo.Wakipunguza unataka CCM ile wapi?
Kuna yule jamaa anataka kila mtanzania mwenye miaka 18 apewe TIN namba alipe kodi.
Sidhani kama ulielewa maana halisi ya ruzuku hiyo.Hapa Tanzania Serikali inatoa 100B kila mwezi kama ruzuku ya mafuta lakini haiwanufaishi wananchi ni bora Serikali izuie kutoa hiyo ruzuku na pesa hiyo ielekezwe ktk maendeo mengine
Halina uhusiano na Mada iliyopo.
Wewe kodi ni ulipe tu.
Nchi nzuri hii!Subiri upewe TIN namba ulipie. Naenda zangu Burundi kuishi. Hii nchi kila siku unafanywa kitega uchumi wa CCM
Rais Joe Biden wa Marekani, leo ameondoa kodi katika mafuta ili kuwapa nafuu wananchi wake.
Amewataka Magavana wa States za nchi hiyo vile vile wapunguze kodi na tozo katika States zao.
KWETU TZ VIPI?
Hapa Tz kodi na tozo katika mfuta bado zipo kati ya Tshs 800 hadi 900.
Mchakato! mchakato! mchakato!Umepotosha. Amependekeza; authority ya kuondoa kodi hana!