Hata kama amesaini Singida, ni muhimu Beno kufata weledi

Hata kama amesaini Singida, ni muhimu Beno kufata weledi

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
"Hii ni mechi ya kimataifa, hata kama Beno amesaini na Singida anatakiwa kuwa na weledi, Beno bado ni mchezaji wa Simba na anatakiwa kuwa Committed na Timu ya Simba na hususan hizi mechi muhimu ambazo Manula hayupo,”

"Huwezi jua, unaweza onyesha performance yako kwenye mechi ya kesho kwa sababu ni mechi ya kimataifa hujui ni nani anakuangalia ukapata dili ukaondoka, hata dili na Singida likavunjika ukaenda mbali zaidi."

313F1E36-6DE4-44B2-97E2-542E1CB6263D.jpeg
 
Mbona kama mnatafuta huruma ya kakolanya
 
Kama keshasaini huko hatakiwi cheza
 
B
“Hii ni mechi ya kimataifa, hata kama Beno amesaini na Singida anatakiwa kuwa na weledi, Beno bado ni mchezaji wa Simba na anatakiwa kuwa Committed na Timu ya Simba na hususan hizi mechi muhimu ambazo Manula hayupo,”

Huwezi jua, unaweza onyesha performance yako kwenye mechi ya kesho kwa sababu ni mechi ya kimataifa hujui ni nani anakuangalia ukapata dili ukaondoka, hata dili na Singida likavunjika ukaenda mbali zaidi,”
View attachment 2595051
hiyo mechi atadaka beno ila ile ya yanga haikufaa adake
 
Beno hatakiwi kukanyaga uwanjani kuichezea Simba mpaka msimu huu unaisha, Salum anatosha
 
Kwani shida iko wapi hasa! Anayepanga kikosi ni yeye Benno, au kocha wake? Amegoma kucheza? Mbona maelezo kama hayajitoshelezi!
 
Beno anajua lakini kivuli cha manula kinamficha sana
 
Back
Top Bottom