Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
hiyo mechi atadaka beno ila ile ya yanga haikufaa adakeB
“Hii ni mechi ya kimataifa, hata kama Beno amesaini na Singida anatakiwa kuwa na weledi, Beno bado ni mchezaji wa Simba na anatakiwa kuwa Committed na Timu ya Simba na hususan hizi mechi muhimu ambazo Manula hayupo,”
Huwezi jua, unaweza onyesha performance yako kwenye mechi ya kesho kwa sababu ni mechi ya kimataifa hujui ni nani anakuangalia ukapata dili ukaondoka, hata dili na Singida likavunjika ukaenda mbali zaidi,”
View attachment 2595051
Amenukuu maneno ya Edo Kumwembe hayo kwenye kipindi cha Sports Arena leo asubuhiUmeanza limi kazi ya ukocha?