Hakuna kitu kama hiko , maandamano yasipofanikiwa kitu mbacho ni 1% najua kuna njia nyingine zitatumika.Uwezekano wa maandamno kufanyika ni 1% au 0.01 kwa mujibu wa historia, hali ya kijamii na hali ya kisiasa ya Tanzania. Yote kwa yote CCM na Serikali yake wana hoja za kufanyia kazi bila kupuuza:-
1.Kuchunguza matukio ya utekaji, upotezaji, mateso na mauaji ya raia kutoka 2016 hadi 2025, ili kubaini wahusika na kurejesha imani kwa taasisi.
2.Kuundwa kwa Tume Mpya ya Katiba huru yenye uwakilishi wa jamii nzima, ili kukusanya maoni na kujadili masuala kama haki za Tanganyika na utambulisho wa kikatiba.
3.Kuchunguzwa kwa viongozi waliotenda dhulma na kuundwa upya kwa jeshi lenye msingi wa maadili na uwajibikaji, ili liwe chombo cha ulinzi badala ya hofu.
4.Kuachiliwa mara moja kwa Tundu Antipas Mughway Lissu na wengine kama waliotekwa au kufichwa, pamoja na kufutwa mashtaka ya kisiasa.
5. Kuanzisha Sheria itakayohakikisha uwazi na usalama kwa wahanga wa kisiasa, ili warudi nchini bila hofu au kulipiziwa kisasi.
6.Kuhakikisha kuna uwajibikaji kwa utekaji na ufisadi unaoongezeka, ikiwemo upotezaji wa watu na matumizi mabaya ya rasilimali za umma.
7.Kurejesha amani ya kweli kupitia haki, uadilifu wa taasisi na ulinzi wa raia dhidi ya vurugu za serikali.
Huyu ni mmoja wao.Message itafika vipi? hivi unawaelewa hao watu au unawasikia?
Pasipo kuwafurusha hakuna lolote litakalobadilika..
Usijipe moyo eti message itafika, ufisadi utaendelea tena mara kadhaa zaidi ya sasa..
I bet you are gayNyumbu zitaandamana sana mitandaoni
Uwezekano wa maandamno kufanyika ni 1% au 0.01 kwa mujibu wa historia, hali ya kijamii na hali ya kisiasa ya Tanzania. Yote kwa yote CCM na Serikali yake wana hoja za kufanyia kazi bila kupuuza:-
1.Kuchunguza matukio ya utekaji, upotezaji, mateso na mauaji ya raia kutoka 2016 hadi 2025, ili kubaini wahusika na kurejesha imani kwa taasisi.
2.Kuundwa kwa Tume Mpya ya Katiba huru yenye uwakilishi wa jamii nzima, ili kukusanya maoni na kujadili masuala kama haki za Tanganyika na utambulisho wa kikatiba.
3.Kuchunguzwa kwa viongozi waliotenda dhulma na kuundwa upya kwa jeshi lenye msingi wa maadili na uwajibikaji, ili liwe chombo cha ulinzi badala ya hofu.
4.Kuachiliwa mara moja kwa Tundu Antipas Mughway Lissu na wengine kama waliotekwa au kufichwa, pamoja na kufutwa mashtaka ya kisiasa.
5. Kuanzisha Sheria itakayohakikisha uwazi na usalama kwa wahanga wa kisiasa, ili warudi nchini bila hofu au kulipiziwa kisasi.
6.Kuhakikisha kuna uwajibikaji kwa utekaji na ufisadi unaoongezeka, ikiwemo upotezaji wa watu na matumizi mabaya ya rasilimali za umma.
7.Kurejesha amani ya kweli kupitia haki, uadilifu wa taasisi na ulinzi wa raia dhidi ya vurugu za serikali.
Tujiulize tumefikaje hapa na tunatoka vipi ?? Maana tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1995, uwanja wa demokrasia ulikuwa unakua hadi 2015. Lakini ilipofika 2015 hadi 2025 hali imekuwa mbaya kuliko hata enzi za chama kimoja 1964-1995
Maandamano yakishindikana wahamasisha maandamano ndio watasakwa na kuwindwa zaidi kama magaidi. Wasiojulikana will have the field dayWangekuwq na akili timamu baada ya maandamano kufeli wangejirekebisha wakala na vipofu.
Ila kwa kuwa akili hawana, ndio watatuona sisi mazombi na watazidishq kufanya ujinga na uhuni wao, wasichokijua wanyonge na mazombi tunaishq, kina kuja kizazi cha kukataa uhuni..
Wasomi watakuwq wengi, ajira hakuna, uchumi unadorora hivyo kifuatacho itv ni balaaa zito huko miaka ya mbeleni
Maandamano yakishindikana wahamasisha maandamano ndio watasakwa na kuwindwa zaidi kama magaidi. Wasiojulikana will have the field day
I'm your mother's kibenten, ask her if you doubt itI bet you are gay
Hapo hatoki mtu, nchi haiwezi kuendelea kwa kuwa na rais kama huyo , bunge la kijinga kama hilo, mawaziri wa hovyo kama hao.Huyu ni mmoja wao.
Wasichojua ni kuwa CCM ni kama Shetani.
Kilichopo mbele yetu Watanzania ni kuwafurusha hawa mafisadi na wauaji hiyo Oktoba 29. Hatuna second option wala third option. Ni kuwafurusha tu ili tuanze kuijenga nchi yetu upya
Huyu ni mmoja wao.

Naomba hesabu ya pesa zote zilizotumika katika mchakato wa mwanzo. Pia nipe gharama za pesa za mchakato unaotarajiwa. Na hizi pesa za mchakato tarajiwa zitatoka wapi na ni miradi ipi itasimamishwa hili gharama za mchakato zitimie.2.Kuundwa kwa Tume Mpya ya Katiba huru yenye uwakilishi wa jamii nzima, ili kukusanya maoni na kujadili masuala kama haki za Tanganyika na utambulisho wa kikatiba.
Hakuna cha akili kurudi, bali hizo ni facts. Viongozi wote wa ndani ya chama na upinzani walikuwa wanagombea fursa ya kutaka kuiongoza Tanzania. Hivyo anayeshinda lazima azingatie masilahi ya taifa kwanza. Hiyo ndiyo maudhui ya uzi wanguAkili zishaanza kuwarudi eeh! Hatudanganyiki. Tunatoka na kuwafurusha kabisa. We have given you so many chances. Now we are taking our land back. Jiandaeni kukimbia nchi au kuozea jela. Enough is enough