Anyway, tarehe 29/10 baada ya saa 12 turudi hapa tena tuone nani alikuwa mkweliHakuna kitu kama hiko , maandamano yasipofanikiwa kitu mbacho ni 1% najua kuna njia nyingine zitatumika.
Message itafika vipi? hivi unawaelewa hao watu au unawasikia?
Pasipo kuwafurusha hakuna lolote litakalobadilika..
Usijipe moyo eti message itafika, ufisadi utaendelea tena mara kadhaa zaidi ya sasa.. mauaji yataendelea..
Nasemaje!! maandamano yatafanikiwa 100% na Tanzania mpya inakuja.
Kila mahali lazima kuwa na starting point. Hatuwezi kuwa desperate kiasi hicho.Unafanana na Nape aliyesema madaraka na kushika dola ndio muhimu zaidi kwa CCM mengine baadaye.
Hakuna kitu chochote cha maana cha kubadilisha nchi katika hali channya kitakachofanywa na viongozi watokanao na uchaguzi haramu wa maonyesho kwani hao watawala wanajua hawajachaguliwa na raia na hivyo hawana haja ya kuwajibika kwao.
Hakuna cha akili kurudi, bali hizo ni facts. Viongozi wote wa ndani ya chama na upinzani walikuwa wanagombea fursa ya kutaka kuiongoza Tanzania. Hivyo anayeshinda lazima azingatie masilahi ya taifa kwanza. Hiyo ndiyo maudhui ya uzi wangu
You hooligans your time is up. We have given you so many chances to make it right. Enough is enough, we want our country back. No turning back.Hakuna cha akili kurudi, bali hizo ni facts. Viongozi wote wa ndani ya chama na upinzani walikuwa wanagombea fursa ya kutaka kuiongoza Tanzania. Hivyo anayeshinda lazima azingatie masilahi ya taifa kwanza. Hiyo ndiyo maudhui ya uzi wangu
Hiyo ndiyo gharama ya demokrasiaNaomba hesabu ya pesa zote zilizotumika katika mchakato wa mwanzo. Pia nipe gharama za pesa za mchakato unaotarajiwa. Na hizi pesa za mchakato tarajiwa zitatoka wapi na ni miradi ipi itasimamishwa hili gharama za mchakato zitimie.
Anyway, tarehe 29/10 baada ya saa 12 turudi hapa tena tuone nani alikuwa mkweli
Rule of nature.Kwani aliyekwambia time line, mwisho wa ukombozi ni 18:00, 29/10/25 nani?
Niamini mimi Comrade! Ikitokea vijana wakajitokeza kweli na baadhi yao kukubali kujitoa muhanga; aisee jeshi litachukua nchi. Na sababu ni moja tu;Uwezekano wa maandamno kufanyika ni 1% au 0.01 kwa mujibu wa historia, hali ya kijamii na hali ya kisiasa ya Tanzania. Yote kwa yote CCM na Serikali yake wana hoja za kufanyia kazi bila kupuuza:-
1. Kuchunguza matukio ya utekaji, upotezaji, mateso na mauaji ya raia kutoka 2016 hadi 2025, ili kubaini wahusika na kurejesha imani kwa taasisi.
2. Kuundwa kwa Tume Mpya ya Katiba huru yenye uwakilishi wa jamii nzima, ili kukusanya maoni na kujadili masuala kama haki za Tanganyika na utambulisho wa kikatiba.
3. Kuchunguzwa kwa viongozi waliotenda dhulma na kuundwa upya kwa jeshi lenye msingi wa maadili na uwajibikaji, ili liwe chombo cha ulinzi badala ya hofu.
4. Kuachiliwa mara moja kwa Tundu Antipas Mughway Lissu na wengine kama waliotekwa au kufichwa, pamoja na kufutwa mashtaka ya kisiasa.
5. Kuanzisha Sheria itakayohakikisha uwazi na usalama kwa wahanga wa kisiasa, ili warudi nchini bila hofu au kulipiziwa kisasi.
6. Kuhakikisha kuna uwajibikaji kwa utekaji na ufisadi unaoongezeka, ikiwemo upotezaji wa watu na matumizi mabaya ya rasilimali za umma.
7. Kurejesha amani ya kweli kupitia haki, uadilifu wa taasisi na ulinzi wa raia dhidi ya vurugu za serikali.
Rule of nature.
he "Rule of Nature" in philosophy refers to the ordered patterns of occurrences observed in the natural world, characterized by their universality, constancy, and observability
Naam hilo nalijua. Leo nahitaji kujua gharama halisi (Tanzanian Shillings) ya hii demokrasia ya kutunga katiba mpya kwa wakati uliopita na tunaoendea . Ni miradi ipi itasimamishwa ili tupate rasilimali fedha za kutunga hii katiba.Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia
Mwaka 2014 bajeti ya Katiba mpya ilikuwa Tsh 450 Bilioni. Kuhusu miradi ipi itasimama ni suala la mipango tuNaam hilo nalijua. Leo nahitaji kujua gharama halisi (Tanzanian Shillings) ya hii demokrasia ya kutunga katiba mpya kwa wakati uliopita na tunaoendea . Ni miradi ipi itasimamishwa ili tupate rasilimali fedha za kutunga hii katiba.
Natanguliza Shukrani kwa majibu.
Mawazo mazuri sana, lakini mawazo yako yanapingana na uchafu wa Demokrasia. Hatua yoyote itakayochukuliwa na serikali baada ya uchaguzi bado itabagazwa na kuchafuliwa kuwa si lolote Wala chichote. Hii ndiyo Demokrasia. DEMOKRASIA haitaki utulivu ktk jamii ndiyo maana hata Kikwete alipoamua kuanziaha mchakato wa Katiba mpya baada ya kilio Cha muda mrefu, bado haikupatikana sababu ya DEMOKRASIA. DEMOKRASIA ulitaka kukwamisha ujenzi wa Miradi ya maendekeo kuanzia barabara, ununuzi wa ndege, ujenzi wa viwanja vya ndege, bwawa la Umeme, Reli ya SGR n.k. Tushukuru Kuna Rais aliamua kuziba masikio. DEMOKRASIA ni kuchafuana na maadamu wako wakubwa wanaotoa pesa na kufadhili kuchafuana huko hayatakoma. Ni mpaka mtakapopiganishwa mkachoma moto nchi, Akili ikiwarudi ndipo mtajua kumbe tulikuwa tunagombashwa.Uwezekano wa maandamno kufanyika ni 1% au 0.01 kwa mujibu wa historia, hali ya kijamii na hali ya kisiasa ya Tanzania. Yote kwa yote CCM na Serikali yake wana hoja za kufanyia kazi bila kupuuza:-
1. Kuchunguza matukio ya utekaji, upotezaji, mateso na mauaji ya raia kutoka 2016 hadi 2025, ili kubaini wahusika na kurejesha imani kwa taasisi.
2. Kuundwa kwa Tume Mpya ya Katiba huru yenye uwakilishi wa jamii nzima, ili kukusanya maoni na kujadili masuala kama haki za Tanganyika na utambulisho wa kikatiba.
3. Kuchunguzwa kwa viongozi waliotenda dhulma na kuundwa upya kwa jeshi lenye msingi wa maadili na uwajibikaji, ili liwe chombo cha ulinzi badala ya hofu.
4. Kuachiliwa mara moja kwa Tundu Antipas Mughway Lissu na wengine kama waliotekwa au kufichwa, pamoja na kufutwa mashtaka ya kisiasa.
5. Kuanzisha Sheria itakayohakikisha uwazi na usalama kwa wahanga wa kisiasa, ili warudi nchini bila hofu au kulipiziwa kisasi.
6. Kuhakikisha kuna uwajibikaji kwa utekaji na ufisadi unaoongezeka, ikiwemo upotezaji wa watu na matumizi mabaya ya rasilimali za umma.
7. Kurejesha amani ya kweli kupitia haki, uadilifu wa taasisi na ulinzi wa raia dhidi ya vurugu za serikali.
Kwa taarifa yako, Kepten Tesha ni project ya waliomteka Polepole. Angalia zile picha za chumba ambacho Polepole alikuwa anatumia kuongelea, then linganisha na ile meza na background ya Kepteni Tesha. Zina ufanano. Pili kumbuka script aliyokuwa anaisoma Tesha, halafu linganisha na maudhui ya Polepole aliyokuwa anaongea. Ni mwandiko wa Polepole.Nakupa mfano tu mwepesi umeona siku cpt Tesha kaongea, je ulifanya utafiti wa haraka kuona mapokeo ya cpt Tesha na kauli zake toka kwa wananchi?
Jibu unalo pengine kama hamkujifunza pale mkaona Tesha ndio kikwazo akawa "neutralized" basi watanzania watatafuta njia nyingine ya kupeleka vilio vyao na pengine njia hiyo haitopendwa na watawala ambao ni kikundi kidogo kinachoogelea kwenye bwawa la ufisadi kutokana na kodi za wananchi.
Niseme tu , Samia kachelewa sio kidogo bali sana.
Adíos.
Wewe ulikuwa mtu wa kwanza humu kusema cpt Tesha sio mwanajeshi ni AI tu ile kweli si kweli?.Kwa taarifa yako, Kepten Tesha ni project ya waliomteka Polepole. Angalia zile picha za chumba ambacho Polepole alikuwa anatumia kuongelea, then linganisha na ile meza na background ya Kepteni Tesha. Zina ufanano. Pili kumbuka script aliyokuwa anaisoma Tesha, halafu linganisha na maudhui ya Polepole aliyokuwa anaongea. Ni mwandiko wa Polepole.
Hao watekaji wa Polepole walitoka wapi??Kepteni Tesha aliongea tarehe 4/10 na Polepole alinyakuliwa tarehe 6/10, na hatujamsikia Kepteni Tesha tena. Watekaji walimtengenezea mtego Polepole kupitia Kepteni Tesha kama panya anavyotegwa kwa mfupa wa samaki, kisha Polepole akaingia mazima
Mawazo mazuri sana, lakini mawazo yako yanapingana na uchafu wa Demokrasia. Hatua yoyote itakayochukuliwa na serikali baada ya uchaguzi bado itabagazwa na kuchafuliwa kuwa si lolote Wala chichote. Hii ndiyo Demokrasia. DEMOKRASIA haitaki utulivu ktk jamii ndiyo maana hata Kikwete alipoamua kuanziaha mchakato wa Katiba mpya baada ya kilio Cha muda mrefu, bado haikupatikana sababu ya DEMOKRASIA. DEMOKRASIA ulitaka kukwamisha ujenzi wa Miradi ya maendekeo kuanzia barabara, ununuzi wa ndege, ujenzi wa viwanja vya ndege, bwawa la Umeme, Reli ya SGR n.k. Tushukuru Kuna Rais aliamua kuziba masikio. DEMOKRASIA ni kuchafuana na maadamu wako wakubwa wanaotoa pesa na kufadhili kuchafuana huko hayatakoma. Ni mpaka mtakapopiganishwa mkachoma moto nchi, Akili ikiwarudi ndipo mtajua kumbe tulikuwa tunagombashwa.