AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Halitofanyiwa kazi na ndio litazidi mara 3 au 4 zaidi kuua wote wanaoipinga serikali na washirika wake almaarufu km wana mtandao ndio utakua mfumo rasmi1. Kuchunguza matukio ya utekaji, upotezaji, mateso na mauaji ya raia kutoka 2016 hadi 2025, ili kubaini wahusika na kurejesha imani kwa taasisi.
Watanzania wana uwezo wa kuhamasisha maandamano kwenye mtandao tu. Huku nje watu wana mishe za kutafuta kula yao na familia zaoKwani kwenye lile genge lenu almaarufu la wahuni, mnasema je?
Watanzania wana uwezo wa kuhamasisha maandamano kwenye mtandao tu. Huku nje watu wana mishe za kutafuta kula yao na familia zao
Halitofanyiwa kazi na ndio litazidi mara 3 au 4 zaidi kuua wote wanaoipinga serikali na washirika wake almaarufu km wana mtandao ndio utakua mfumo rasmi
"Problems shall not be solved by same mind that created them"- Albert EinsteinWewe ulikuwa mtu wa kwanza humu kusema cpt Tesha sio mwanajeshi ni AI tu ile kweli si kweli?.
Ok sasa nakuuliza tena Cpt Tesha ni mwanajeshi au sio mwanajeshi,?
Hao watekaji wa Polepole walitoka wapi??
Na wewe unajuaje huo mtego au sio mtego?
Je kosa la Polepole lilikuwa ni lipi?
Je kosa la Polepole halikuweza kusikilizwa kisheria?
Mwisho tena nakuachia swali je baada ya cpt Tesha na Polepole kupotea ndio suluhu ya mwisho kumaliza ukosoaji na jw ukosoaji umeisha kabisa kwamba watu wote sasa ni mstari mmoja kusema MAMA HANA DENI??
NB: Matatizo ya miaka 6 yangeweza kutatulika tu kwa miaka 4 ila sasa ni 10 huwezi yatatua kwa kujidanganya usiku mmoja tu nikuhakikishie muda haudanganyi.
Mimi nimefungia mjadala hapa.
Mzee Joseph Sinde Warioba na Marehemu Raila Amolo Odinga ni watu ambao walikutana na timu ya Lissu na Heche kuhusu NRNE. Wote Warioba na Odinga walimuambia Tundu kuwa kuahirisha au kuzuia uchaguzi HAIWEZEKANI. Ila kwa sababu viongozi wa CDM wote wawili ni kama chupa na mfumiko wakabisha. Wote wako incarcerated sasaToo late vibaya mno. Kipindi Lissu anasema tuahirishe uchaguzi ili Reform zifanyike mkamuona mwehu kwa sasa hakuna mbadala asee.
Ndo kama hivi sasa HAKUNA UCHAGUZI ILA KUNA UCHAFUZI TU.Mzee Joseph Sinde Warioba na Marehemu Raila Amolo Odinga ni watu ambao walikutana na timu ya Lissu na Heche kuhusu NRNE. Wote Warioba na Odinga walimuambia Tundu kuwa kuahirisha au kuzuia uchaguzi HAIWEZEKANI. Ila kwa sababu viongozi wa CDM wote wawili ni kama chupa na mfumiko wakabisha. Wote wako incarcerated sasa
Ukweli kwa 100% na hii itazidi kupunguza morale ya wapigania hakiMaandamano yakishindikana wahamasisha maandamano ndio watasakwa na kuwindwa zaidi kama magaidi. Wasiojulikana will have the field day
Uwezekano wa maandamno kufanyika ni 1% au 0.01 kwa mujibu wa historia, hali ya kijamii na hali ya kisiasa ya Tanzania. Yote kwa yote CCM na Serikali yake wana hoja za kufanyia kazi bila kupuuza:-
1. Kuchunguza matukio ya utekaji, upotezaji, mateso na mauaji ya raia kutoka 2016 hadi 2025, ili kubaini wahusika na kurejesha imani kwa taasisi.
2. Kuundwa kwa Tume Mpya ya Katiba huru yenye uwakilishi wa jamii nzima, ili kukusanya maoni na kujadili masuala kama haki za Tanganyika na utambulisho wa kikatiba.
3. Kuchunguzwa kwa viongozi waliotenda dhulma na kuundwa upya kwa jeshi lenye msingi wa maadili na uwajibikaji, ili liwe chombo cha ulinzi badala ya hofu.
4. Kuachiliwa mara moja kwa Tundu Antipas Mughway Lissu na wengine kama waliotekwa au kufichwa, pamoja na kufutwa mashtaka ya kisiasa.
5. Kuanzisha Sheria itakayohakikisha uwazi na usalama kwa wahanga wa kisiasa, ili warudi nchini bila hofu au kulipiziwa kisasi.
6. Kuhakikisha kuna uwajibikaji kwa utekaji na ufisadi unaoongezeka, ikiwemo upotezaji wa watu na matumizi mabaya ya rasilimali za umma.
7. Kurejesha amani ya kweli kupitia haki, uadilifu wa taasisi na ulinzi wa raia dhidi ya vurugu za serikali.
You can pontificate all you want, the horses are already out. You can do nothing about it at this time, but wait!Uwezekano wa maandamno kufanyika ni 1% au 0.01 kwa mujibu wa historia, hali ya kijamii na hali ya kisiasa ya Tanzania. Yote kwa yote CCM na Serikali yake wana hoja za kufanyia kazi bila kupuuza:-
1. Kuchunguza matukio ya utekaji, upotezaji, mateso na mauaji ya raia kutoka 2016 hadi 2025, ili kubaini wahusika na kurejesha imani kwa taasisi.
2. Kuundwa kwa Tume Mpya ya Katiba huru yenye uwakilishi wa jamii nzima, ili kukusanya maoni na kujadili masuala kama haki za Tanganyika na utambulisho wa kikatiba.
3. Kuchunguzwa kwa viongozi waliotenda dhulma na kuundwa upya kwa jeshi lenye msingi wa maadili na uwajibikaji, ili liwe chombo cha ulinzi badala ya hofu.
4. Kuachiliwa mara moja kwa Tundu Antipas Mughway Lissu na wengine kama waliotekwa au kufichwa, pamoja na kufutwa mashtaka ya kisiasa.
5. Kuanzisha Sheria itakayohakikisha uwazi na usalama kwa wahanga wa kisiasa, ili warudi nchini bila hofu au kulipiziwa kisasi.
6. Kuhakikisha kuna uwajibikaji kwa utekaji na ufisadi unaoongezeka, ikiwemo upotezaji wa watu na matumizi mabaya ya rasilimali za umma.
7. Kurejesha amani ya kweli kupitia haki, uadilifu wa taasisi na ulinzi wa raia dhidi ya vurugu za serikali.
Unachanganyikiwa mapema mno. Hebu tulia kwanza!Hakuna cha akili kurudi, bali hizo ni facts. Viongozi wote wa ndani ya chama na upinzani walikuwa wanagombea fursa ya kutaka kuiongoza Tanzania. Hivyo anayeshinda lazima azingatie masilahi ya taifa kwanza. Hiyo ndiyo maudhui ya uzi wangu
Sio kwa style ya upinzani ya Chadema. Chadema ndio inafanya mambo hayo yasitokee kwasababu wao tu ndio wenye akili wengine wote wanawaona kima tu. Strategy hiyo ya chama plus matusi badala ya kukosoa palipo na shida, ndio hujenga hofu kwa vyombo na taasisi kutokuwa na Imani nao juu ya mikakati yao. Kumbuka mama alianza kwa kuwapa nafasi ya kukaa pamoja kwa maslahi ya Taifa, wakazingua kwa tabia hizo za kujiona wao tu ndio wenye akili, wenye watu na wenye matusi. No one will trust people like that.Uwezekano wa maandamno kufanyika ni 1% au 0.01 kwa mujibu wa historia, hali ya kijamii na hali ya kisiasa ya Tanzania. Yote kwa yote CCM na Serikali yake wana hoja za kufanyia kazi bila kupuuza:-
1. Kuchunguza matukio ya utekaji, upotezaji, mateso na mauaji ya raia kutoka 2016 hadi 2025, ili kubaini wahusika na kurejesha imani kwa taasisi.
2. Kuundwa kwa Tume Mpya ya Katiba huru yenye uwakilishi wa jamii nzima, ili kukusanya maoni na kujadili masuala kama haki za Tanganyika na utambulisho wa kikatiba.
3. Kuchunguzwa kwa viongozi waliotenda dhulma na kuundwa upya kwa jeshi lenye msingi wa maadili na uwajibikaji, ili liwe chombo cha ulinzi badala ya hofu.
4. Kuachiliwa mara moja kwa Tundu Antipas Mughway Lissu na wengine kama waliotekwa au kufichwa, pamoja na kufutwa mashtaka ya kisiasa.
5. Kuanzisha Sheria itakayohakikisha uwazi na usalama kwa wahanga wa kisiasa, ili warudi nchini bila hofu au kulipiziwa kisasi.
6. Kuhakikisha kuna uwajibikaji kwa utekaji na ufisadi unaoongezeka, ikiwemo upotezaji wa watu na matumizi mabaya ya rasilimali za umma.
7. Kurejesha amani ya kweli kupitia haki, uadilifu wa taasisi na ulinzi wa raia dhidi ya vurugu za serikali.
Falsafa ya 4R ilisalitiwa na Tundu Lissu, kwenye hili naomba tukubali kutokubaliana..Ni vigumu sana mapendekezo yako kufanyiwa kazi na Ssh wa sasa hivi.
..Ssh wa 2021 to 2022 angeweza. Huyu aliyesaliti falsafa yake ya 4R hawezi.
..kinachokwenda kutokea ni chengachenga mpaka 2030. Halafu tunaahidiwa mageuzi upya.
Well put Mkuu Dan Zwangendaba ningependa na JokaKuu asome ulichoandikaSio kwa style ya upinzani ya Chadema. Chadema ndio inafanya mambo hayo yasitokee kwasababu wao tu ndio wenye akili wengine wote wanawaona kima tu. Strategy hiyo ya chama plus matusi badala ya kukosoa palipo na shida, ndio hujenga hofu kwa vyombo na taasisi kutokuwa na Imani nao juu ya mikakati yao. Kumbuka mama alianza kwa kuwapa nafasi ya kukaa pamoja kwa maslahi ya Taifa, wakazingua kwa tabia hizo za kujiona wao tu ndio wenye akili, wenye watu na wenye matusi. No one will trust people like that.
Falsafa ya 4R ilisalitiwa na Tundu Lissu, kwenye hili naomba tukubali kutokubaliana
Sio kwa style ya upinzani ya Chadema. Chadema ndio inafanya mambo hayo yasitokee kwasababu wao tu ndio wenye akili wengine wote wanawaona kima tu. Strategy hiyo ya chama plus matusi badala ya kukosoa palipo na shida, ndio hujenga hofu kwa vyombo na taasisi kutokuwa na Imani nao juu ya mikakati yao. Kumbuka mama alianza kwa kuwapa nafasi ya kukaa pamoja kwa maslahi ya Taifa, wakazingua kwa tabia hizo za kujiona wao tu ndio wenye akili, wenye watu na wenye matusi. No one will trust people like that.