Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Walitumia uchawi kivipiSimba walitumia uchawi wakapindua matokea ya namna hii hii dhidi ya Mufulira Wonders ya Zambia.
Simba kwa uchawi hata ikibidi afe mtu lazima wautumie.
Simba 5 Kaizer Chiefs 0
Njoo Lupaso kwa Mkapa utauona!Walitumia uchawi kivipi
Ina maana hadi leo hawajapewa majibu ya vipimoTusubili matokeo ya vipimo vya COVID 19 kwanza! Ndiyo turufu yao iliyobaki
Umbumbumbu ni pamoja na kuamini kwa kupitia uchawi Simba ataifunga na kuitoa Kaizer kwa idadi kubwa ya magoli.
Tarehe 17/2/2013 uchawi haukufua dafu kwa Recreativo do Libolo ya Angola walipopigwa kimoja cha kuagia Dar na kufanya Jumla 5-0Simba walitumia uchawi wakapindua matokea ya namna hii hii dhidi ya Mufulira Wonders ya Zambia.
Simba kwa uchawi hata ikibidi afe mtu lazima wautumie.
Simba 5 Kaizer Chiefs 0
Kaizer yenyewe team ya ma chief..Simba walitumia uchawi wakapindua matokea ya namna hii hii dhidi ya Mufulira Wonders ya Zambia.
Simba kwa uchawi hata ikibidi afe mtu lazima wautumie.
Simba 5 Kaizer Chiefs 0