wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Tulipokosea sana ni pale tulipoamua kuipa taaluma kisogo na kuipa siasa hadhi kubwa sana
Mpaka Gwajima anautaka ubunge mzee wa Uno.
Tayari vyama vingi kama si vyote vimefungua pazia kwa watia nia kuelekea ucjaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Kumekuwa na pilikapilika za huku na kule kwa wanachama wa vyama vya siasa kutia nia ya kugombea ubunge.
Kwenye makundi sogozi kwa sasa kumejaa picha za watia nia wakijitangaza kuwa wako tayari kuwatumikia wananchi.
Cha kushangaza ni kuwa hata wasiotarajiwa kuwa wangeweza kutia nia sasa wefanya hivyo.
Wengine tunawajua uwezo wao wa kiuongozi na kiutendaji kwani tumesoma nao shuleni na vyuoni.
Ni watu ambao hata uwezo wa kujijitea wao wenyewe hawana mpaka watetewe na wenzao. Sasa mtu ambae hawezi kujisemea na kujitetea mwenyewe atamtetea nani?
Ubunge umerahosishwa sana kiasi kwamba kila mmoja anaona kama anatosha kuwa mwakilishi jimboni.
Itafika hatua huko mbele tunaweza kuwa na wabunge wasiojiweza kiasi kwamba mbunge akamaliza miaka mitano bila kuchangia chochote bungeni.
Ni wakati wa chama kuweka vigezo muhimu na vigumu kwa watia nia ili kuwa na uhakika na na hao watia nia ambao ni wabunge watarajiwa.
Nakubaliana na wewe, ukianzia na utendaji wa spika hapo ndiyo utaelewa jinsi gani bunge letu liliendeshwa.Kwa kifupi Ubunge umekuwa kitu rahisi sana kwa sasa, nadhani inatokana na utendaji wa ovyo wa bunge lililopita.
Bunge la Tz kwa sasa ni kama kijiwe cha kahawa tu mtu yoyote anaweza kuwepo.
Kugonga meza tu kama wafanyavyo wabunge wa CCMkuna ugumu gani?
Watu wamegundua pesa za kuvuna zipo kwenye ubunge.
Tulipokosea sana ni pale tulipoamua kuipa taaluma kisogo na kuipa siasa hadhi kubwa sana
Sasa kama.bunge lina akina Mlinga, Msukuma, Lusinde, Kesi, mollel, Jenista nani anaweza kushindwa ubunge kama hao na wengine wameweza??Tayari vyama vingi kama si vyote vimefungua pazia kwa watia nia kuelekea ucjaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Kumekuwa na pilikapilika za huku na kule kwa wanachama wa vyama vya siasa kutia nia ya kugombea ubunge.
Kwenye makundi sogozi kwa sasa kumejaa picha za watia nia wakijitangaza kuwa wako tayari kuwatumikia wananchi.
Cha kushangaza ni kuwa hata wasiotarajiwa kuwa wangeweza kutia nia sasa wefanya hivyo.
Wengine tunawajua uwezo wao wa kiuongozi na kiutendaji kwani tumesoma nao shuleni na vyuoni.
Ni watu ambao hata uwezo wa kujijitea wao wenyewe hawana mpaka watetewe na wenzao. Sasa mtu ambae hawezi kujisemea na kujitetea mwenyewe atamtetea nani?
Ubunge umerahosishwa sana kiasi kwamba kila mmoja anaona kama anatosha kuwa mwakilishi jimboni.
Itafika hatua huko mbele tunaweza kuwa na wabunge wasiojiweza kiasi kwamba mbunge akamaliza miaka mitano bila kuchangia chochote bungeni.
Ni wakati wa chama kuweka vigezo muhimu na vigumu kwa watia nia ili kuwa na uhakika na na hao watia nia ambao ni wabunge watarajiwa.
Uko sahihi maana wanatoka kwenye jamii hizi hizi.wabunge wetu hawa ndio wanaowakilisha watanzania wote, yaani kwamba, tabia, mienendo na mitazamo yao ndio namna watanzania walivyo, hatutoboi leo.
Naona watu wanaacha uDCna uRC wa mikoa wanakimbilia ubunge. Ubunge unalipa sana.Watu wamegundua pesa za kuvuna zipo kwenye ubunge.
Watu wanabadilika aisee yawezekana mtu ambaye ulikuwa unamuona mdhaifu kipindi cha nyuma akawa bora sasa si vizuri kujaji na kuhitimisha kuwa mtu yupo hivi kutokana na background yake ya zamani kama ulimwengu unabadilika palipokuwa na mto panakuwa nchi kavu sembuse binadamu? Acha fikira mgando.Tayari vyama vingi kama si vyote vimefungua pazia kwa watia nia kuelekea ucjaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Kumekuwa na pilikapilika za huku na kule kwa wanachama wa vyama vya siasa kutia nia ya kugombea ubunge.
Kwenye makundi sogozi kwa sasa kumejaa picha za watia nia wakijitangaza kuwa wako tayari kuwatumikia wananchi.
Cha kushangaza ni kuwa hata wasiotarajiwa kuwa wangeweza kutia nia sasa wefanya hivyo.
Wengine tunawajua uwezo wao wa kiuongozi na kiutendaji kwani tumesoma nao shuleni na vyuoni.
Ni watu ambao hata uwezo wa kujijitea wao wenyewe hawana mpaka watetewe na wenzao. Sasa mtu ambae hawezi kujisemea na kujitetea mwenyewe atamtetea nani?
Ubunge umerahosishwa sana kiasi kwamba kila mmoja anaona kama anatosha kuwa mwakilishi jimboni.
Itafika hatua huko mbele tunaweza kuwa na wabunge wasiojiweza kiasi kwamba mbunge akamaliza miaka mitano bila kuchangia chochote bungeni.
Ni wakati wa chama kuweka vigezo muhimu na vigumu kwa watia nia ili kuwa na uhakika na na hao watia nia ambao ni wabunge watarajiwa.
Uko sahihi maana wanatoka kwenye jamii hizi hizi.