Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu mko vyedi?
Watengeza maudhui hawa walikaa chini wakafikiria wakaona hii ndio content inafaa na inachekesha kabisa?! Hapana jamani hii siyo sawa.
Kwanza ni hatari kwao na hata kwa magari na watumizi wengine wa barabara. Mtu anatoka huko breki zimefeli anakuja kukuvaa utamlaumu nani, tena wanaenda kwenye barabara iko bize hivyo.
Vitu vingine tunajitafutia tu matatizo uzolewe bahati mbaya uje ulaumu serikali kwa upumbavu wako. Au nakosea Wakuu?