Hata kama ndio mnalipwa ila hizi sasa fujo

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Punguzeni wazee, tunashindwa kupata maoni ya raia kwenye comment kwa sababu yenu aisee, comment 300 lakini waliocomment hawazidi 10.

Kuzuia ushuzi wa dengu usinuke ni kazi wazee ila pambaneni kikubwa PESA YENU MLIPWE KWA WAKATI.

​
 
Mgema akisifiwa sana tembo hulitia maji. Kuna viongozi huwa hawapendi kusifiwa kinafiki. Yupo mmoja alikataa kuitwa mtukufu kwenye ziara zake huko mikoani anakokaribishwa kwa mabango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…