Hata kama ni mtangazaji wa udaku, this is too much soudy brown

Jamani alie na umbea WA mange arushe hapa,na recho temu insta kutamujeeee
Naomba tu niwe upande wa mange,maana recho yule Dada kachizi na anamtafuta mange mda sana,sijuhi anafurahi anavyoanikwa kwa vichambo
 
Kama ni kweli ilikuwepo na imetoka, pole sana Wema, pole sana Mungu ni mwema usikate tamaa majaribu yapo kwa binadamu, tuishike imani na kuomba kwa Mungu atujalie haja ya mioyo yetu. Ila nawe ujifunze maisha ya kipindi uwepo bleed, uwapo mkavu na uwapo mjamzito jamani sio wewe ni yule yule kwa season zote haa,.
 
Naona Soud kaamua kuweka ushahidi
 

Attachments

  • 1455265026713.jpg
    41.2 KB · Views: 45
  • 1455265048032.jpg
    32.3 KB · Views: 41
  • 1455265063785.jpg
    38 KB · Views: 52
Hiii tamthilya itaishia mimba kutoka,simuombei ila hakuna mimba pale....drama na kudraw attention za watu
Mimba ipo.
Ila haijatoka.
Eti mapachaa!
Mumuwache rachel wangu
 
Ungetoa maelezo kidogo mumy as unajua JF inazingua sasa hivi kwenye suala la picha.
Hivi kumbe sio mimi tu! Mpaka nikawa natamani kuitupa hii cm kwakunifanyia kusudi lol
 
Mimi nasema Wema ana mimba, aliitafuta kwa shida sana aje awalipizie wabaya wake na haijatoka.
Haiwezi kutoka kabla zamu ya mtaa wetu haijafika kugusa tumbo la Malkia Sultan.
Ha ha ha ha ha tumbo la malkia sultan
 
nasikia mimba imetoka,jaman nilijua tu mimba ya wema haifikag hata miez sita inatoka, kweli huyu dada kiboko kwa ku fake mimba
Haaahaa Binamu hujaacha umbea tu , nilikuwa out of JF kwa muda ila kuna umbea wa watu niliumiss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…