Hata kama ni mtangazaji wa udaku, this is too much soudy brown

Mazee na wewe kumbe unafuatilia eeh😀?

Hii mimba imeshakuwa kero kwenye mitandao, ukifungua huku mimba ya Wema, ukienda home mimba ya Wema, ofisini wadada mimba ya Wema.

Wengine anayo wengine hana, automatically unajikuta umeguswa aisee.
 
Hii mimba imeshakuwa kero kwenye mitandao, ukifungua huku mimba ya Wema, ukienda home mimba ya Wema, ofisini wadada mimba ya Wema.

Wengine anayo wengine hana, automatically unajikuta umeguswa aisee.

Yeah naona imekuwa kivutio cha ajabu kweli!
 
Huyo bibi kafanyeje tena?mwisho wa siku atatafuta kiki hata kwa fid@ ataingia cha kike.
 
Huyu jamaa nadhani akili yake iliathiriwa na virusi vya Zica akiwa mdogo.

Eti utamsikia anampigia mtu aliyepata ajali alafu anamuhoji...nasikia umetenguka kiuno?...hivi ilikuwa fuso ile ilikugonga ama?.....nasikia sasa hata wife unasaidiwa kwichi kwichi.

......huyu chali kumbafu kabisa.
 
Mimi nasema Wema ana mimba, aliitafuta kwa shida sana aje awalipizie wabaya wake na haijatoka.
Haiwezi kutoka kabla zamu ya mtaa wetu haijafika kugusa tumbo la Malkia Sultan.
ahaha pole sana endelea kujipa moyo, hakuna cha mimba wala mamba, mshaingizwa chaka, yani wem anawafanya mashabiki wake kama matahira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…