Hata kama ni nini

Mkuu, mimi hua naangalia sana avatar yako alafu nakaa nikitafakari mambo mengi sana....
Ebu ngoja tuone kama wapo wengine ambao pia wanaliona ninalo liona

Sawa mkuu
Huo ni mtazamo wako kila mtu na mtazamo wake humu
Hakuna mtu anaweza fanya mtu afanane na yeye


Mimi huwa nikimalza kazi zangu naingia humu jf inanipa happy sana
Kutokana na watu na comment zao
Habar utan komed marafik yan furaha…kukutana na marafik
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…