Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo demu kaanza kunicheki na wala simfahamu, hizo ndo msg tulizochati na mwisho kanipiga mzinga.Ungemwambia Una rafiki yako daktari utampeleka akang'oe jino bure kabisa ...hapo ndo ungejua ukweli
Tena hata akitaka ang'olewe meno yote! Sawa tu!Ungemwambia Una rafiki yako daktari utampeleka akang'oe jino bure kabisa ...hapo ndo ungejua ukweli
Huyu sio yule wa Facebook anayejifanya ni dent Kigamboni hapo sijui Chuo Gani? Nilimpa kitofali fasterView attachment 2693608
Yani mtu mmeanza kuchati tu ghafla umeshaitwa "My" na invoice juu. Hivi hawa viumbe wanatuchukuliaje? Nilichokifanya nimempa block tu, sitaki ujinga.
Mitandao imekua na matapeli kila kona, ujanja muhimu.Ila hii kuitwa 'My' kama sio mjanja unaweza lainika
Uzi na ufungwe, kwa mara ya kwanza leo umecomment cha maana. 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Mnachukua mademu wa Facebook mnaleta lawama huku, mtatongoza madume washamba nyie