Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Yaani sijui ni mitandao na zile filter za apps.ndo zinawapa kiburi na kujiona wazuri, wajanja, watamu, matajiri. Sasa ukikutana nao show show duh, utabaki upaliwe mate kwa kucheka na mshangao....wapo kawaida hatari...ninavosema KAWAIDA naomba nieleweke vizuri..yaani wapo KAWA IDA...kiasi kwamba hata house gal wako home yuko na mvuto...
Ila ukiwakuta sasa huko kwenye tvs,insta au club na zile henness,desperado,vikuku na tattoo zao...wanajitunisha kumbe NAH TING NEW!!
Pisi kali ambayo naiotea ndoto kwa hapa bongo ni MMOJA TU
Ila ukiwakuta sasa huko kwenye tvs,insta au club na zile henness,desperado,vikuku na tattoo zao...wanajitunisha kumbe NAH TING NEW!!
Pisi kali ambayo naiotea ndoto kwa hapa bongo ni MMOJA TU