Hata Kama Simba SC Wakimlipa CLOUTUS C. CHAMA Pesa Zake, Bado Hatokuwa Mchezaji Bora Uwanjani tena

Inonga alicheza katika Nafasi ya “Kiungo Mchezeshaji”.

Oneni huyu [emoji23][emoji23]
Nimegundua nawaelewesha mazuzu yanayoshinda airport kuwapokea wageni.
 
Hii comment imeonyesha ww ni kilaza nimepoteza mda wangu bure kukujibu ndegelesi umeshinda basi tufanye maana unatoka kwenye point unakuja kwenye personality ya mtu
Kwani wewe hapa ulikuwa unaongelea nani chama ni mnyama au mtu?

Kalale mzee lambalamba wamekulamba kunako 🤣🤣🤣
 
Walikuja kugundua Chama ni tabulalasa ndo maana wanataka kumrusha
 
Kumbe ndo vile Ila hizi habari mnapataga wapi nyie?
 
Mifugo fc mnateseka sana na hbr za simba eb mtafuteni William arudishe Furaha ya shabiki mwenzenu aliemkimbia cku ya Harusi
 
kwa hiyo sio tena kupigana na kocha?
 
Unachobisha wewe ni Nini Sasa?
huo ndo ukweli uliza kiongozi yeyote wa Simba atakwambia kuhusu chama alivyouzwa.
Dau lake 800 milion wakatoa 300 milion
Baada ya mchezaji kubadili maamuzi wakataka kurudishiwa hela zao 300 milion
Huoni hata aibu masikini ya Mungu.

Usikute una familia na watoto hapo ulipo .[emoji23][emoji23]
 
Hapana .berkane wamechukua 300!yao Simba wamechukua mchezaji wao.na kikubwa mchezaji mwenyewe ndo kataka kurudi.
Ingekuwa Simba wamnunue tena chama wasingekubali.
Hio Biashara kichaa walifanya, lkn vipengele si vipo alie vunja mkataba ndio atalipa
 
Uliisoma post yake ya jana INSTA na TWEETER? Unaandika majungu tuu hapa.
 
.
 
Yaani sijawahi kuona mtu muongo kama wewe..Chama yupo Ismailia kwenye mechi ya juzi alicheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…