Ndio nani?Mr. Andrew A. Mwangakala
Ag. Assistant Commissioner -Financial Modeling
Yaleyaleeee... Unatafunwa na panya road halaf unakuja jitapa et wamenila ila kwa mbinde sanaaa 🤣🤣🤣🤣Mr. Andrew A. Mwangakala
Ag. Assistant Commissioner -Financial Modeling
Hawa ndiyo walimwingiza mkenge mwendazake, walilikoroga sasa walinywe. Mama kafanya sawasawa kumpeleka yeye.Mr. Andrew A. Mwangakala
Ag. Assistant Commissioner -Financial Modeling
Angekuwa anaitwa Omary Juma Mohamed usingetoa comment hiyo, ungesema hujaona baya!Hawa ndiyo walimwingiza mkenge mwendazake, walilikoroga sasa walinywe. Mama kafanya sawasawa kumpeleka yeye.
Amejaa ujinga tu, hana cha maana alichokifanya hapo. Kila kitu yeye "correct" tu. Pambaf. Anaongozwa kama mtoto mdogo.