Hata kama tumefungwa lakini dunia nzima imetuona na tumekunja b5

DungaMawe

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
1,522
Reaction score
4,630
Unajaua hata kama tumefungwa lakini hatua tuliyo ifikia nyie vyura amauwezi fika miaka buku. Kwa mpila wa leo karibu dunia nzima wameangalia, alafu hii ndo mechi ambaya club za Africa zimekutana na mechi ikatizamwa na watu wengi, alafu pia tumekunja.

Biliooni TANO!! Nyie pesa kama hii mtaingiza kwa miaka mitano, si tumeiingiza kwa mechi mbili. Saivi mashabiki wameongezeka mana lile pira tumepiga ni la viwango vya mars, saivi kuna watu kama milion tano wameoda jezi za SIMAB SC.

MAMAAA! NAOTA!!!
 
Kumbe Kuna mashabiki WA Simba wazinguaji, nati zimelegea????

Nilijua ni yule Dada Jane peke yake.
(Mtu mfupi).
Simba yote mwenye akili ni mmoja tu Rage, wengine wote inajulikana ni mbumbumbu grade one!
Ni aibu sana Makolokwinyo matangazo Dunia nzima kisha kujaza uwanja kwa masifa, mbwembwe , nyimbo na mapambio na baadae kukandwa 5G ndani nje na wababe Al Ahly!

Hakika itawauma sana Makolo sifa zote walizojipa halafu kucheza mechi mbili za kusindikiza madume ya mamba yakiwa kwenye msafara wao!!

Yanga oyeee!!! Zidumu fikra za Eng Hersi!
 
Hilooo....utakufa kwa wivu utopo... 🤣 🤣 🤣 🐸 🐸 🐸
 
Katika hiyo 5B unayoita mmekunja, umepata elfu ngapi wewe ustaadh?

Kwani ungeandika pamoja na kufungwa ila simba imekunja 5B ungepungukiwa nini?
 
Simba yote mwenye akili ni mmoja tu Rage, wengine wote inajulikana ni mbumbumbu grade one!
Ni aibu sana Makolokwinyo matangazo Dunia nzima kisha kujaza uwanja kwa masifa, mbwembwe , nyimbo na mapambio na baadae kukandwa 5G ndani nje na wababe Al Ahly!

Hakika itawauma sana Makolo sifa zote walizojipa halafu kucheza mechi mbili za kusindikiza madume ya mamba yakiwa kwenye msafara wao!!

Yanga oyeee!!! Zidumu fikra za Eng Hersi!
We endelea kuZUGA tuh!?
 
Hahahaha hatuna habariii sisi kikubwa tumejulikana na watu wazito...
 
Back
Top Bottom