Simba yote mwenye akili ni mmoja tu Rage, wengine wote inajulikana ni mbumbumbu grade one!Kumbe Kuna mashabiki WA Simba wazinguaji, nati zimelegea????
Nilijua ni yule Dada Jane peke yake.
(Mtu mfupi).
[emoji23][emoji23][emoji23]Umekunja wewe au amekunja kanjibai
Hilooo....utakufa kwa wivu utopo... 🤣 🤣 🤣 🐸 🐸 🐸Simba yote mwenye akili ni mmoja tu Rage, wengine wote inajulikana ni mbumbumbu grade one!
Ni aibu sana Makolokwinyo matangazo Dunia nzima kisha kujaza uwanja kwa masifa, mbwembwe , nyimbo na mapambio na baadae kukandwa 5G ndani nje na wababe Al Ahly!
Hakika itawauma sana Makolo sifa zote walizojipa halafu kucheza mechi mbili za kusindikiza madume ya mamba yakiwa kwenye msafara wao!!
Yanga oyeee!!! Zidumu fikra za Eng Hersi!
We endelea kuZUGA tuh!?Simba yote mwenye akili ni mmoja tu Rage, wengine wote inajulikana ni mbumbumbu grade one!
Ni aibu sana Makolokwinyo matangazo Dunia nzima kisha kujaza uwanja kwa masifa, mbwembwe , nyimbo na mapambio na baadae kukandwa 5G ndani nje na wababe Al Ahly!
Hakika itawauma sana Makolo sifa zote walizojipa halafu kucheza mechi mbili za kusindikiza madume ya mamba yakiwa kwenye msafara wao!!
Yanga oyeee!!! Zidumu fikra za Eng Hersi!
Wako wengi, inawezekana mwenye utimamu ukawa wewe Peke yako.Kumbe Kuna mashabiki WA Simba wazinguaji, nati zimelegea????
Nilijua ni yule Dada Jane peke yake.
(Mtu mfupi).