OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Watu walio karibu na huyu mchambuzi uchwara wamshauri zaidi,atumike akiwa anatumia akili na kunena kweli. Haiwezekani watu wakutumie kwa vyovyote. Maana hata kuna malaya unaweza kuchukua lakini akawa akakupa angalizo humruki ukuta.
Huyu manamba wa GSM anamezesha watu uongo Simba Sc hajawahi kushinda Lake Tanganyika. Ni kwa sababu tu anaandika akitumiwa lakini ingekuwa anaandika kweli basi alipaswa kujua Simba iliishinda Mashujaa FC Oktoba 2019 kwa goli la Shiboob mechi ya kirafiki.
Halafu analeta stori za miaka ya 80 leo?! Ili zisaidie nini? Lakini bado anadanganya Simba iliponea kushuka daraja 1989,really?! Waambie watu ukweli Simba ilikosa ubingwa baada ya kufungwa na Juma Mgunda wa Coastal Union 1-0.
Lakini hao wanaokusimulia wakwambie pia Yanga iliwahi kuingia mitini dhidi ya RTC hapo Lake Tanganyika na RTC wakapewa point 2 na goli 2