Hata kama unatumika, basi tumia akili unapotumika

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Watu walio karibu na huyu mchambuzi uchwara wamshauri zaidi,atumike akiwa anatumia akili na kunena kweli. Haiwezekani watu wakutumie kwa vyovyote. Maana hata kuna malaya unaweza kuchukua lakini akawa akakupa angalizo humruki ukuta.

Huyu manamba wa GSM anamezesha watu uongo Simba Sc hajawahi kushinda Lake Tanganyika. Ni kwa sababu tu anaandika akitumiwa lakini ingekuwa anaandika kweli basi alipaswa kujua Simba iliishinda Mashujaa FC Oktoba 2019 kwa goli la Shiboob mechi ya kirafiki.

Halafu analeta stori za miaka ya 80 leo?! Ili zisaidie nini? Lakini bado anadanganya Simba iliponea kushuka daraja 1989,really?! Waambie watu ukweli Simba ilikosa ubingwa baada ya kufungwa na Juma Mgunda wa Coastal Union 1-0.

Lakini hao wanaokusimulia wakwambie pia Yanga iliwahi kuingia mitini dhidi ya RTC hapo Lake Tanganyika na RTC wakapewa point 2 na goli 2
 
Uyo jamaa ni mpuuzi frani kama ka shoga shoga ivi maana hua nasoma maandiko yake mpaka najiuliza aliwezaje kua mchambunzi
 
Simba imenusurika kushuka daraja maratatu mfululizo 1987, 1988,1989. Kwaiyo kuhusu kunusurika kushuka hajakosea kabisa. Niserikali na Yanga walio jitaidi Simba isishuke katika kipindi icho.

Viongozi wengi wa Timu walikimbia timu alibakinayo kiongozi mmoja Jabir shikamkono yeye ndiye aliye waweka wachezaji kambini pale njueni Hotel pale kibaha na Yeye ndie aliye endesha basi kuelekea uwanjani na njiani akaishiwa nguvu gari lika endeshwa na mmoja ya wachezaji.

Simba walikua wakihitaji point Moja Ila sahau kambi kipa wa Yanga aka mzawadia John Makelele goli na Simba ikashinda 2- 1. Cost akawa bingwa, Yanga akaukosa ubingwa ili ambebe Simba.
 
Priva ameandika hivi"Simba haijawai kushinda uwanja huo',,hapo ajasema za mashindano wala friend match,usiongeze maneno ambayo Priva hakuandika hapo.

Ukweli ni kwamba Simba ameshawai kushinda kwenye uwanja wa Lake Tanganyika.
 
Kwahiyo anadanganya? Hamkufungwa?
Tutolee ushuzi hapa mikia huwa mna akili nusu
 
Hawa ndio maana Manara anataka kuwakaba🤣
 
Yeye kaandika kuna mdau anamtazama kupitia Azam tv akisema hayo maneno sio yeye aliyesema kwani hapo kuna baya gani?

Tunapokuwa mashabiki na sie tuwe na akili basi sio kuwatoa akili wenzetu tu[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
 
Naona umezunguķa saaaana mwisho umeonesha mechi ya kirafiki sijui mlicheza na mashujaa kwa hyo kweli mechi tunazozitambua sisi watu wa mpira hamjawahi kushinda uwanja huo kingine ulichomrekebisha jamaa ni kwamba kweli mlitaka kushuka daraja ila sio mwaka huo alioweka yeye
 
Priva ana sauti kama demu,usikute ni chakula ile kama kitenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…