Haaaahaaaaaa nimesoma nikategemea atatuonesha mechi walizoshinda eeh anasema mechi ya kirafiki na mashujaa waache nakwambia wasipofanikisha mechi kuihamishia dar wameumiaAmekwambia hamjawahi kushinda kwenye match yoyote ya ligi au ya mashindano, sasa wewe unaleta porojo za friend match na mashujaa. Hata ikiwa ni uongo asemacho nyie mnaogopa nini sasa,tarehe 25 ikifika thibitisheni kwa kuifunga Yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaahaaaaa ndio mechi ya kirafiki?Priva ameandika hivi"Simba haijawai kushinda uwanja huo',,hapo ajasema za mashindano wala friend match,usiongeze maneno ambayo Priva hakuandika hapo.
Ukweli ni kwamba Simba ameshawai kushinda kwenye uwanja wa Lake Tanganyika.
IshanitokeaMaana hata kuna malaya unaweza kuchukua lakini akawa akakupa angalizo humruki ukuta.
Ok, ila pia Simba alinusurika kushuka faraja 1989 akaokolewa na Yanga sc, hiyo nayo unasemaje? Kafanganya au kawakumbusha ukweli.Priva ameandika hivi"Simba haijawai kushinda uwanja huo',,hapo ajasema za mashindano wala friend match,usiongeze maneno ambayo Priva hakuandika hapo.
Ukweli ni kwamba Simba ameshawai kushinda kwenye uwanja wa Lake Tanganyika.
Priva ameandika hivi"Simba haijawai kushinda uwanja huo',,hapo ajasema za mashindano wala friend match,usiongeze maneno ambayo Priva hakuandika hapo.
Ukweli ni kwamba Simba ameshawai kushinda kwenye uwanja wa Lake Tanganyika.
Acha kulialia bwanshee.
Watu walio karibu na huyu mchambuzi uchwara wamshauri zaidi,atumike akiwa anatumia akili na kunena kweli. Haiwezekani watu wakutumie kwa vyovyote. Maana hata kuna malaya unaweza kuchukua lakini akawa akakupa angalizo humruki ukuta.
Huyu manamba wa GSM anamezesha watu uongo Simba Sc hajawahi kushinda Lake Tanganyika. Ni kwa sababu tu anaandika akitumiwa lakini ingekuwa anaandika kweli basi alipaswa kujua Simba iliishinda Mashujaa FC Oktoba 2019 kwa goli la Shiboob mechi ya kirafiki.
Halafu analeta stori za miaka ya 80 leo?! Ili zisaidie nini? Lakini bado anadanganya Simba iliponea kushuka daraja 1989,really?! Waambie watu ukweli Simba ilikosa ubingwa baada ya kufungwa na Juma Mgunda wa Coastal Union 1-0.
Lakini hao wanaokusimulia wakwambie pia Yanga iliwahi kuingia mitini dhidi ya RTC hapo Lake Tanganyika na RTC wakapewa point 2 na goli 2
Sasa Kigoma hakuna timu ya ligi kuu ,unataka Simba washinde na Nani?Amekwambia hamjawahi kushinda kwenye match yoyote ya ligi au ya mashindano, sasa wewe unaleta porojo za friend match na mashujaa. Hata ikiwa ni uongo asemacho nyie mnaogopa nini sasa,tarehe 25 ikifika thibitisheni kwa kuifunga Yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umezaliwa lini hata historia ya mpira wa Bongo hujui usijue kuwa Kigoma kulikuwa na timu Ligi Kuu iitwayo Reli Kigoma?Sasa Kigoma hakuna timu ya ligi kuu ,unataka Simba washinde na Nani?
Jibuni hoja zake acheni kasumbaHuyo ndo aliwadanganya VYURA eti UTOPOLO wamenunua bus aina ya SCANIA HIRIZI 6 na UTOPOLO wakashangilia sana
Sent using Jamii Forums mobile app