Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Katika kufafanua zaidi kuhusu kusitishwa kwa msaada wa Marekani chini ya utawala Trump Msemaji wa Ikulu ya Marekani akizungumza na vyombo vya habari amesema walipofanya ukaguzi wamekuta Gaza imepewa $million 50( takribani bilioni 100Tsh) kwa ajili ya kununua Condom.
Huu ni uzushi mkubwa sana, kuna nchi kweli zingeweza kutengewa au kupewa msaada wa condom kiasi hicho ila sio Gaza, hii ni propaganda nyeusi dhidi ya Wapalestina.
Huu ni uzushi mkubwa sana, kuna nchi kweli zingeweza kutengewa au kupewa msaada wa condom kiasi hicho ila sio Gaza, hii ni propaganda nyeusi dhidi ya Wapalestina.