AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Are you Gay?Hv jaman, hizo kitu huwa zinatema sana? Maana wengne huwa tunasikia tu story hatujawah kupambana nazo! Leten experience ambao mmewah kupambana nazo, zinatoa kama nin?, kama panya aliyekufa au zinatoa kama nin?
Ktk ubora wakomie ndio maana napenda ugonjwa wa mafua nakua busy na pua zangu
Mkuu kama hujakutana na hayo mambo shukuru Mungu.Hv jaman, hizo kitu huwa zinatema sana? Maana wengne huwa tunasikia tu story hatujawah kupambana nazo! Leten experience ambao mmewah kupambana nazo, zinatoa kama nin?, kama panya aliyekufa au zinatoa kama nin?
Unazijua embe Moshi zikiiva?Hv jaman, hizo kitu huwa zinatema sana? Maana wengne huwa tunasikia tu story hatujawah kupambana nazo! Leten experience ambao mmewah kupambana nazo, zinatoa kama nin?, kama panya aliyekufa au zinatoa kama nin?
😂😂Alikuwa period na Yuko safari kutoka Morogoro Malinyi amekesha Kaka Msibani amefiwa na Kaka yakeLeo naomba niongee na mama zangu na dada zangu.
Kwanza nawapa heshima zenu wadogo marhaba na wakubwa habarini za sahizi.
Sasa kuna hili suala nimeliona leo kwenye usafiri wa umma nimeona nilitolee neno kidogo. Sitaingia moja kwa moja kwenye masuala ya shirki ila hata km kujisahau msijisahau kiasi hiki.
Ipo hivi;
Leo asubuhi nilifanikiwa kuingia kwenye usafiri wa umma kwenye kujichanganya nikadandia gari moja linaloelekea k/koo sikua naenda k/koo nilikua nashuka kituo cha kati, uzuri nikabahatika kupata siti waliofuata walisimama.
Sasa katika sehemu niliyokaa nikawa nimekandamizwa na wanawake watatu.
Usawa niliokuwepo nimekaa ni usawa ambao km kuna kitu kinatoa harufu ni rahisi sana kwa mimi kuisikia ile harufu.
Cha kustaajabisha ni kwamba nilianza kusikia harufu ya ajabu ajabu nikijaribu kutafakari nikagundua ile harufu ni kutoka kwenye k za wanawake waliosimama.
Sitaki kuandika sana ila niwasihi sana mama zangu na dada zangu mambo mawili moja muwe mnajisafisha na mbili hata km ni masharti ya mganga semeni hapana, sio kwa ile harufu.
Nimemaliza.
Mambo ya ndani iliangalie hiliHapo unakuta katika kushonwa usiku kucha hadi alfajiri kisha akanawa uso huyoooo kukimbizana na daladala.
Kiukweli suala la usafi kwa wanawake wengi ni changamoto inayotakiwa kuingiliwa kati na mamlaka husika zinazodili na personal hygiene and sanitation.
Ili somo liongezwe shuleni wafundishwe Wadada tu AiseeLeo naomba niongee na mama zangu na dada zangu.
Kwanza nawapa heshima zenu wadogo marhaba na wakubwa habarini za sahizi.
Sasa kuna hili suala nimeliona leo kwenye usafiri wa umma nimeona nilitolee neno kidogo. Sitaingia moja kwa moja kwenye masuala ya shirki ila hata km kujisahau msijisahau kiasi hiki.
Ipo hivi;
Leo asubuhi nilifanikiwa kuingia kwenye usafiri wa umma kwenye kujichanganya nikadandia gari moja linaloelekea k/koo sikua naenda k/koo nilikua nashuka kituo cha kati, uzuri nikabahatika kupata siti waliofuata walisimama.
Sasa katika sehemu niliyokaa nikawa nimekandamizwa na wanawake watatu.
Usawa niliokuwepo nimekaa ni usawa ambao km kuna kitu kinatoa harufu ni rahisi sana kwa mimi kuisikia ile harufu.
Cha kustaajabisha ni kwamba nilianza kusikia harufu ya ajabu ajabu nikijaribu kutafakari nikagundua ile harufu ni kutoka kwenye k za wanawake waliosimama.
Sitaki kuandika sana ila niwasihi sana mama zangu na dada zangu mambo mawili moja muwe mnajisafisha na mbili hata km ni masharti ya mganga semeni hapana, sio kwa ile harufu.
Nimemaliza.
🤣🤣🤣🤣Dada Pipi mshushe