PreGE2025 Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Shiiiiiiii! Usimwage mchele, bado muda! waache wajipige vifua kuwa wana namba za kutosha, watasitukia kumekucha.
 
w
ewe pamoja na kujua huko bado unawahimiza wenzio wakachinjwe na gori la mkono. No ref No elect.
 
Hizo fikra zako zilikuwa sahihi kabla ya 2015 kwa sasa sahau kuhusu hilo .Toka 2019,2020 na 2024 kama ni mfuatiliaji wa mambo utaelewa % ya kura za wananchi kuamua matokeo ni chini ya asilimia 10

Dalili ya hilo ni kwamba tupo mwaka wa uchaguzi lakini hata ile daganya toto ya utekelezaji wa miradi haipo hii nikuonyesha they don't care wapiga kura wanasema nini sababu mbinu yao ya kuengua wagombea inafanya kazi na wanaoachwa kwenye sanduku ni wale wasindikizaji na kwa taarifa yako kuna majimbo machache watayakabidhi kwa upinzani ili tuonekane tuna demokrasia kwenye siasa za kimataifa ila watakaopewa ni wale mamluki waliotayari kufanya siasa za kung'ata na kupuliza
 
Kuna Changamoto maamuzi kwenye mfumo wa Chadema
Lisu anauwezo mzuri wa Kusimamia mikakati lakini sio kupanga mikakati
Hawajapata utulivu wa kutafari mambo wamekurupuka na agenda iliyokosewa Kimkakati
 
Tatizo sio mvuto wa wanaccm, bali mchakato mzima wa uchaguzi. Umesahau uchaguzi wa juzi wa SM?
 
Kuna Changamoto maamuzi kwenye mfumo wa Chadema
Lisu anauwezo mzuri wa Kusimamia mikakati lakini sio kupanga mikakati
Hawajapata utulivu wa kutafari mambo wamekurupuka na agenda iliyokosewa Kimkakati
imekosewa enhee........,,,, ndio uonavyo kiasi kwamba chawa wa ccm wanajaa mazima kushauri. ccm akukosoe eti utajikwaa mbele anakupenda sana.
Mtanisamehe mnaopinga bado kuelewa. ila hawa G55 wanafikilia matumbo yao tu plus Iq ndogo.
 
Haya ndio matokeo ya uchaguzi wa ndani wa chama wa kutukanana na kukashifiana

Hakuna umoja tena kama Awali,Watafukuzana kwenye chama chao sana

Huko Twitter ukiingia wanapigana vijembe tu na kukashifiana
 
Pascal wewe una nongwa na Lissu, na hilo linakupofusha. Haukuamini kama anaweza kushinda uenyeketi wa chama chake na sasa hauamini kama anaweza kuzuia uchaguzi.
 
Nyerere angeambiwa hajui kusoma na kuandika
 
Kuna Changamoto maamuzi kwenye mfumo wa Chadema
Lisu anauwezo mzuri wa Kusimamia mikakati lakini sio kupanga mikakati
Hawajapata utulivu wa kutafari mambo wamekurupuka na agenda iliyokosewa Kimkakati

Wewe huoni nchi mzima ni No Reforms No election? Mkakati umewin vibaya Sana.
 
Nchimbi si kashawaambia muache kuwabembeleza CDM kushiriki uchaguzi.
 
Pascally j
Pascally jikite kwenye chama chako kina matatizo chungu nzima lkn kutwa mpo kutoa ushauri CDM, lisu kawashika pabaya
 
Pascal Mayalla umeandika ujinga, wewe unajulikana ni mwana CCM, yaani mwana CCM azijue fursa za CHADEMA wakati mnaomba kila siku chama kife? unajifanya unatoa ushauri, ushauri gani huo, umesahau utawala wa Magufuli hapo nyuma tu kila aliyempiga alikutana na chuma cha moto?

Kawadanganye wengine huko

"NO REFORM, NO ELECTION"
 
Pascal Mayalla akili ziko tumboni, hawezi kuona maana ya kufanya mabadiliko ya sheria katika taifa hili maana hali iliyowepo kwa sasa inamfanya naye ahisi anaweza kupata kipande cha mkate.
 

Paskal Mayala. Let's be serious. Kwa kile ambacho kilifanyika 2024 chini ya usimamizi wa MKWE MWENYE KIFUA KIPANA kweli bado kuna HOPE na bado kuna mtu ambaye anaamini 4R. Unless you are blind....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…