PreGE2025 Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ccm kwenyewe kuliwahi kutokea mwenyekiti wao asiyejua kuremba wapuuzi, angeweza kuwatimua wajumbe wa mkutano mkuu kama wangemletea ujinga. Hawa wapuuzi wa chadema ni wa kufukuzwa daima wakachezee chama kingine chenye masihara. Huko ni kukosa adabu, heshima na utii kwa mwenyekiti wao. Kuliko kukivuruga chama bora wafukuzwe uanachama kwa uasi. Mbona ccm wako kimya ili hali ina vikundi vingi vya kipuuzi? Mwenyekiti wao ana utiisho hawawezi kumchezea
 
Yaani mmesahau yaliyotokea uchaguzi wa mitaa juzi tu. Kweli mtanzania ni kichwa cha mwenda wazimu. Tena this time around wakishiriki huo uchaguzi ndo itakuwa balaa zaidi maana wanajua hawakubaliki hivyo watatumia every tools on their disposal kushinda. It will be worse than anytime in the history of Tanzania.
 
Kuna Changamoto maamuzi kwenye mfumo wa Chadema
Lisu anauwezo mzuri wa Kusimamia mikakati lakini sio kupanga mikakati
Hawajapata utulivu wa kutafari mambo wamekurupuka na agenda iliyokosewa Kimkakati
We unawashauri nini katika kupanga hiyo mikakati?
 
Fursa kwa CHADEMA?

Mkuu kama una taarifa za ndani sana kuwa safari hii serikali ya CCM wamepanga kuwapa CHADEMA viti vingapi vya ubunge, hapo utaeleweka. Nje ya hapo hizo ni porojo.

Sasa hivi wadau wote makini wa siasa nchini wanajua kuwa Rais na timu yake ndio wenye kugawa uwakilishi katika mihimili ya bunge na serikali za mitaa. Mpiga kura na mhesabu kura wote hawana maana. Bali anayesajili na kutangaza matokeo ya uchaguzi kwa maelekezo toka juu ndiye mwenye umuhimu.

Wameshaona kuwa matokeo ya 2019, 2020, na 2024 hayaonyeshi dalili njema kwa upinzani hasa kwa CHADEMA. Tena safari hii wana wasiwasi hata kile kiti cha Nkasi nacho kinaweza kuota mbawa! Hapo hatujajumlisha virungu, mabomu, na risasi za polisi, mortuary, selo na kupotea kabisa!

Ndio maana wameamua kukomaa na No Reform, No Election kwa mtizamo kuwa kifo kinawajia bila shaka. Basi ni heri wafe wakiwa wamesimama kuliko wakiwa wamepiga magoti.

Labda kama mkuu umepenyezewa za ndani kabisa kuwa safari hii serikali ya CCM imepanga neema ya kuwaongezea CHADEMA viti zaidi vya ubunge warejee status ya KUB. Kama ni hivyo tengeneza mpango wa back-door negotiations Kati ya serikali na CHADEMA pengine itasaidia kuweka sawa mambo. Nchi nzima watu wanajua hakuna uchaguzi Tanzania bali kiini-macho.
 
Wewe ni mjinga wa mwisho... ni kwanini mnaandika
Makala zenu bila ku balance ukweli na uhalisia... kwa mfumo ulivyo ni kipi kinachokuonesha wewe mwandishi mjinga kwamba chadema wakishiriki watatangazwa kushinda??? Yaan kwenye unyekiti tu wa mtaa watu wameuwawa na wale wa chadema walioshinda hawakutangazwa, kwaio washiriki uchaguzi mkuu ili iweje? ili kitokee nini?? Kipi kimefanyika cha tofauti???
 
Ni mwendawazimu pekee ndiye anaweza kushiriki kwenye uchaguzi ambao unaandaliwa, kusimamiwa na kutangazwa na MMOJAWAPO WA WAGOMBEA. Bila reforms hakuna uchafuzi.

 
Da, yaani umenikumbusha enzi nasoma kulikuwa na mwalimu wa siasa, akiona umeandika mamistari mengiii...anapiga X halafua anaandika ...bla..blaa...hahaa...nadhani baga kusoma alikuwa hasomi
Kuna mdogo alisoma takwa high school alikua anataja Sana hilo jina pia alipenda kuita wanafunzi wakorofi MUYAYE 😃
 
Hata siku moja aliye na sahani ya msosi hawezi kuacha kila rahisi kama mnavyozani suluhisho nikuongeza nguvu ya kumshinikiza kuachia hiyo sahani kwa hiyo ukisema mpaka warekebishe mfumo tunaweza imba wimbo huo hata karne nzima ila tukianza na vichache tunavyopata tunaweza shinikiza sahani kuachiwa ili tule wote msosi
 
Mh. Lissu kanyaga twende! Wameshaanza kuweweseka
 
Na yote alifeli
 
Tunajua umetoka au uko songea unafaidi asali ya bi-kidude
 
matumaini ya labda 2025, tunaweza kupata Bunge la mabadiliko, lenye kambi rasmi ya upinzani bungeni,
Ndio sababu hatutaki uchaguzi ufanyike kwa sheria hizi zilizopo ili tuondoe fikra kama hizo zako, kuwaza kuwa vyama pinzani vitabaki kuwa pinzani tu, vitaishia kwenye ubunge na sio Urais kwa sababu urais tayari unaona ni wa CCM tu. Kwamba vyama pinzani vitaishia kuunda kambi pinzani, haviwezi kuwa vyama tawala.


ili Chadema ishinde kihalali very good clear and sweet victory, ni pale wananchi wanapokuwa wamehamasika na kufanya informed decision kuwa tunaichagua Chadema kwa sababu hizi
Kinyume cha halali ni haramu. Mawazo yako ni kuwa ushindi wa Chadema huwa unapatikana kiharamu. Mkuu, mchambuzi kabisa unatumia neno halali isivyo sawa.

Kuna sheria inayotaka chama au mgombea aeleze baada ya uchaguzi sababu ambazo zimemfanya achaguliwe? Sasa inakuaje mchambuzi kabisa wa siasa unakuja na vitu vilivyokaa kimakorokocho korokocho? Unavitolea wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…