Uchaguzi 2020 Hata Lissu mwenyewe sitaki atutawale miaka 10

Mimi na familia yangu tumejadili sana kuhusu nafasi ya urais na tumekubaliana kwamba lazima Magufuli apumzike ameshatutawala inatosha miaka mitano ni mingi Sana na ukizingatia ameshakula maisha serikalini zaidi ya miaka 20...
Maisha yanaenda kasi mno, Mkuu, wewe siku za nyuma ulikiwa hausikii chochote kuhusu Magufuli, yote ayafanyayo uliyatetea kwa vyovyote vile. Lissu kasema katika miaka hii mitano kila Mtanzania anayo hadithi yake,kweli maneno ya Lissu hayaanguki.
 
Wanakaza shingo tu lakini Maguduli hafai asee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimeshangaa,.... Huyu nilimlima block sababu alizidi uchizi... Karibia viazi wengi wa ccm nimewalima block
Kweli nimeamini akili ya mwanadamu siyo static. Akili ya ndege JOHN imetengemaa kweli kweli siku hizi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimeshangaa,.... Huyu nilimlima block sababu alizidi uchizi... Karibia viazi wengi wa ccm nimewalima block
Ni yeye katika chati lissu ndo anatakiwa awini akae kileleni
 
Mpeni muda ndege Johna kuna uwezekano kalewa pombe au amehakiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…