Hata liwe ndinga la babycare

Hata liwe ndinga la babycare

INTROVERT MAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
993
Reaction score
1,343
Kuanzia leo hii hata nikiona gari la babycare limeangua ni kufungua miguu yangu kwa speed ya ajabu...................Watanzania wenzangu mafuta ni mafuta tu....
ninasikika au niongeze sauti? au nichomoe betry
 
Fanya kama spactrus inavyokua inameta meta au ukiona ni paringi iivishe na ulimbombo inakua ni kama kilainishi au hata ulindi ukimix na baby johnson ni full remedy tu.
 
Gark ambalo unapaswa ulisogelee baada ya kula mweleka ( kuruka mtaro) nila bia tu. Mengine ni kutoka nduki
 
Makofia anapiga tripu ya kumi sasa....haelewi hata kidogo
IMG-20190815-WA0073.jpeg
 
Back
Top Bottom