Hata machizi hawataki ujinga!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Chizi kakaa ukingoni mwa bahari analia kwa masikitiko na huku kakamata kijiko cha chai. Mwezake akamuuliza mbona unalia mwenzangu. Chizi akajibu nimetia vijiko vitatu vya sukari baharini, kila nikionja bado ina chumvi. Mwenzake akacheka sanaaaaaa akamwambia. Hujakoroga!!!!*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha
nazani waliloa ndevu maana hata ukikoroga matokeo yaleyale
 
khaa! nmechek qenye daladala mpaka watu wananishangaa daaa!
 
khaa! nmechek qenye daladala mpaka watu wananishangaa daaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…