Nyie mashabiki wa damu endeleeni tu kubaki huko mkuu.Wewe kuwa manchester city milele kabisa. Wacha sisi tutabaki na Manchester United. Glory hunters wanaruhusiwa kuondoka na kwenda kwingine wapendapo.
And by the way, wachezaji wanaokuja ni chagua la OLE na sio Woodward.
kiroho safi....Nyie mashabiki wa damu endeleeni tu kubaki huko mkuu.
Mimi GLORY HUNTER ngoja nihamie upande wa pili.
Kabisaaaah!kiroho safi....
Ha ha ha!Hata Yanga ni ya K/Koo pia acha nihamie Simba...sipendi migogoro ya kitimu mimi
Hayo matimu yanatesa tu mashabiki wake mkuu.hivi tofauti kati ya Chelsea yenye transfer ban na haya magenge mengne Arsenal na Manchester united kuna tofauti gani katika usajili ??
mchezaji mpya atakaye cheza Chelsea msimu ujao ni pulisic huku hazard akiwa ameondoka, man u ingizo jipya ni James na bissaka ila probability ni pogba na lukaku kuondoka,,
kwa upande wa arsenal kama vile ndo wenye transfer ban instead of Chelsea maana wapo inactive kabisa kwenye usajili
Hi hi hiHata Yanga ni ya K/Koo pia acha nihamie Simba...sipendi migogoro ya kitimu mimi