Hata Maulidi Kitenge?


You said it mkuu, ndio maana inakuwa kama imeegeshwa tu! na ukiiacha kwa muda huwa inaachia upande mmoja hadi inaninginia kukuonesha kwamba "I don't belong here, kindly take me away". Lakini kwa kwa wajanja kama EfraizMteman do utakuta kakomaa na uzi anairudishia.
 
hukutegemea maulid angevaa suti na lebo...........???
 
unajua sina shida na context ya thread, shida yangu ni mtu anapoamua kuingiza jina la mtu, kwa kesi yako ungesema tujadili kama lebo ya suit inatakiwa itolewe au isitolewe ingeeleweka kwangu lakini ukishaamua kumjadili mtu inakuwa too personal!

Nafikiri tumejadili watu wengi hapa kwa majina yao taking into account wao ni ma-celebrity na hivyo ni kioo kwa jamii. tumemwongelea Jerry Muro, Zitto, Mawaziri na hata mkulu wa kaya! Better still kuna forum ya hawa watu ni vimbwaga vyao!! So sioni haja ya kutomtaja Maulidi kwani ningetoa picha yake bado kuna ambao wangeuliza who is he? Kuna wengine washaanza kuchanganya na lebo za kwenye kofia za kina Jayz despite ya kwamba nimeweka picha na kuonesha picha yenyewe, sasa je ningeleta tu kama thread siingekuwa too worse dada yangu?


and you never know may be i am his wife or cousin or.......


Hata waliojadiliwa humu wengi wana ndugu zao humu!

and btw, suti za kiume naziuza so its not true that iam that much ignorant kuhusu suti za kiume. You can place order through pm just in case🙄
!

Sasa unauza zikiwa na lebo ama unanitolea kabisa ama natoa mwenyewe?
 

mamawee mbavu zangu jamani, mie pia nilitoa macho nikijua ni zile za wazee wa pamba kuazima nguo za shoo na baada kuzirejesha zikiwa na lebo ya upya! kumbe ni zile zilizoshonewa!!! kwa mtazamo wangu (labda uelewa wangu mdogo nisahishwe) mi najua zile lebo zilizobandikwa ni kama ilivyo haipaswi kutolewa unless uchukue kweli kiwembe kikali uanze kuifumua!!!

ndugu wa kishimundu wa ck hizi wameendelea jamani, maana enzi hizo shuleni ukifanya kituko tu waambiwa wakishimundu!!! umenikumbusha mbaali sana
 
hukutegemea maulid angevaa suti na lebo...........???

Maulidi ni mtangazaji na mara nyingi kabla hujaruka hewani, (kwa wenzetu) kuna wataalamu inabidi wakuweke sawa, hawa mara nyingi ni wataalamu wa mavazi, nywele, vipodozi na kadha wa kadha! Ndio maana utaona watangazaji wetu wamekolea powder la ukweli kufisha tope na kukurukakara za jua na joto usoni.

Kwa hiyo basi nilitegemea atleast ana exposure fulani ya haya masuala kwani yeye anaangaliwa na wengi.
 

Kwani picha huioni mkuu?
 

Kwani picha huioni mkuu?
 




tatizo kubwa hapa ni exposure!
 
ndio wale wale!but i think this site is for more serious issues than smbody's dresscode etc. hayo mambo ni ya kwenye ze utamu,lets come up wit hot and betta things.
 

hao wanaowapaka poda wenyewe wana exposure gani mbona wanawakandika hovyo hovyo basi
i think that also tells you a lot......
 
Maisha yawatu hayo.
Wengine wanapenda nguo zao zibaki na vibandiko vya ma designer,
wengine hawapendi.
Ni suala la mtu binafsi kuamua afanye nini na nguo yake
 
ndio wale wale!but i think this site is for more serious issues than smbody's dresscode etc. hayo mambo ni ya kwenye ze utamu,lets come up wit hot and betta things.

Mkuu, this is personality issues! you should know hot to dress and how to appear in fron of others. Kama personality yako ni ovyo ovyo hata uwe great thinker kivipi bado utaacha a lot of un-answered questions!
 
Kaka hiyo lebo ya Gucci ilikuwa ni kwa ajili ya kukusaidia wakati unachagua dukani( kama umenunua urigional) , vinginevyo unatakiwa uitoe ndio mana unaona wameshikiza tu kidogo na nyuzi ( Again kama ni original suti na siyo ya Mwenge). Ndio mana hujawahi kuona say Obama ana lebo kwenye suti japo ni za bei mbaya. Thamani ya suti ndugu yangu ni material , wavaaa suti wakiiona tu wanajua huyu fulani huna haja ya kuweka lebo. Yani ukifika sehemu ya wanaolewa brazaaa, watakuona bonge la Mshamba.
 


sorry, it just came to me like a flood. Na huyo ndiye mkewe number moja au number mbili?
 
Jamani akiacha lebo wewe linakuhusu nini?Jamani hili halina masilahi ya Taifa,hahahaha
 
sorry, it just came to me like a flood. Na huyo ndiye mkewe number moja au number mbili?

hamna mkewe namba moja wala mbili hapo......huyo mbona bado msichana sana ukilinganisha na wakeze
 
Jamani hizi marque hizi zitawaua,kwani akiiacha kuitoa kuna nini?hata avaae Versace,sijui GUESS na ndugu zao.Jamani si pesa yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…