Hata Maulidi Kitenge?



Kithungu kirefu kweli Mbebamabox, unapata muda saangapi wa kupractise lugha?
 
Hivi kuna tofauti gani kuvaa iliyoshonwa ulaya na iliyoshonwa bongo? au ndio ulimbukeni wa kujidharau na kupenda vya ulaya wakati pamba inalimwa Mwanza!!!!!ACHENI HIZOOOO.
 
There is no problem with the label. basically the label owner expects the label to be displayed. hence removing it is injustice to the designer. If you want to leave it, leave it, if you don't remove it. IT IS YOUR DISCRETION!!!
 
wakuu nadhani tunapaswa kuchuja ishu za kujadili maana hizi ishu za lebo kwenye suti sidhani kama zinapunguza apetite ya mihogo chukuchuku. Kama mzungu angevaa hivyo sidhani kama angejadiliwa.

Na huu ustaarab wa kuvaa mjue sio wetu tumeuiga sisi ni kujifunika kwa magome ya miti hivyo ushabiki wa kuvaa suti et all si wa kuuendekeza mpaka kutaka kutoana macho ebo!
 
inaelekea alikuwa amezima kwenye Boutique kwa masharti ya kutoiharibu ndio maana hata lebo hajatoa!
 

Ndio wapi huko wewe malaka.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…