Hata mijibwa inamidomo misafi, imepiga mswaki? kuliko wewe!

Hata mijibwa inamidomo misafi, imepiga mswaki? kuliko wewe!

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,162
Reaction score
796
matokeo ya mgogoro wa walimu na serikali yamenishangaza sana.
unaweza ukanigumdua kwa kitu kidogo tu! ninatabia ya kusema ije itokee
waingeleza wachukue Tanganyika yao, tujue tunatawaliwa na wazungu,

Pili Ije itokee wanyama waje tu waishi/wakae huku majumbani na sisi turudi polini naana hatustahili
kuishi ni afadhali wanyama wanaaibu. aidha wangekuwa wastaarabu.

maji tunayo, tunaoga.tunajisafisha hatung'ai, tunavuta oxygen/hewa safi hatunawiri
mwanga upo hatuuwoni, jamani! hatuonani, rangi zote hizi hatui rangi nzuri, @ zote nyeusi?

harufu modomoni, miswaki hatupigi? mea mwa dsm aibu sana, unasema nini juu ya migomo,

ule wa madokta ulisemaje, na huu wa walimu, umesemaje..jamani hamuwasikii?

wanyama wasafi kuliko sie @


wote sisi hatujui kundi la matajiri linatetea nafasi yao wakae wakila raha milele? inauma sana
 
Back
Top Bottom