BACK to the basics, huyo dada ashukuru hata mumewe anatumia kinga kama alivyosema jamaa hapo juu! Je angekuja nyumbani hana kitu chochote lakini jamaa alikuwa anajirusha kila siku huko?
Hebu fikiria jamaa amue kuuwa na kumwambia my wifey unajua hiyo chupi ni ya mdogo wako alisisahau kuitoa tu! Alikuja nisalimu hotelini!
kwani kama ni kweli kafanya c akubali tu amuombe mke wake msamaha wasonge na maisha?....
kwani kama ni kweli kafanya c akubali tu amuombe mke wake msamaha wasonge na maisha?....
haha NYAMAYETU hilo suala ni mbingu na ardhi sawiakwani kama ni kweli kafanya c akubali tu amuombe mke wake msamaha wasonge na maisha?....
Kama kuna ukweli hatakiwi omba msamaha maana itakuwa anajiandikia hukumu ya kifo! Akomae tu
Huo ndo ukweli alikuwa na mtu.Lakn huyo dada anapaswa atulie na kutatua hayo matatizo na ili yasijirudie tena.mie nahic atakuwa kweli alikuwa na mrembo huko huyo mrembo ndio akamfanyia hivi vimbwanga(nahic)...ukweli anaujua mwenyewe, huwezi kumwacha mhudumu wa hotel apaki vitu vyako, yeye akiwa wapi? mana kama alivipaki akiona angegundua hilo tatizo mapema....kwangu mie sio mhudumu bac ni mtu wake alikuwa nae huko na ana hakika nae ndio mana alivyopakiwa yeye alijibebea tu bla kuangalia(sema nainusuru hii ndoa ni changa mno ndio mana ctaki kutoa neno)...coz nikiyaongea hayo ndio nitakuwa napalia moto.
Huo ndo ukweli alikuwa na mtu.Lakn huyo dada anapaswa atulie na kutatua hayo matatizo na ili yasijirudie tena.
mie jamani cjui kabisa, jana nilikosa cha kushauri kabisa, na ucku nilimcal huyo mdogo wetu nilimuuliza tu kwanini umechukua uamuzi kwa kwenda home haraka hivyo badala ya kumckiliza mwenzio kwanza...receipt "acnifanyie hayo akidhani alinitoa rodini, alinitoa kwetu atakuja kunichukua kwetu kama bado ananihitaji"....
Hivi NYAMA unatarajia nikishamalizana na wewe nipack kondom kwenye bag nikamrushe roho waife?wanaume jamani, kweli lenu moja! mkaka na kulia machozi analia lakini ukweli anao mwenyewe...
Akikubali atakuwa amevunja rule namba moja ya INFI.....
Mke anatakiwa kuwa mvumilivu ili ayajue mengi.. Kukurupuka namna hiyo, unampa nafasi mume ya kujificha zaidi... Kuna rafiki yangu mmoja alikwenda GUEST. Akalipa, alipopewa receipt akaiweka kwenye wallet...AKASAHAU! Baada ya siku mbili.. Mke usiku wa manane, mume akiwa amelala, akapekua wallet na kukuta receipt na jina la pili la mumewe... Mke usingizi ukamtoka akaiweka kwenye kipima joto chake.. Baada ya kujishauri sana, akamwamsha. Huku akitoa receipt kwenye pima joto yake.. Akamuuliza.. Huko guest ulifata nini? Mume alikataa katakata na kumwambia. Unatoa receipt kwenye pima joto yako, halafu unaniuliza mimi! Leo utaniambia. Kwani huwezi kuandika jina la mumeo? Ile kesi mpaka leo haijaisha. Na ni karibu miaka mi4.
Ni mdogo wake na friend wangu, tuliyoisheherekea harusi mwezi May, ni jana my frnd ananical ananiambia mdogo wake karudi nyumbani(kwa wazazi).
Mwanaume alisafiri kama 2 weeks kikazi, karudi jmoc ucku, mke kampokea kwa furaha zote kufurahia mume karudi na alim miss pia, mume yupo bathroom mke akawa anafanyia usafi begi na mume alilotoka nalo safari, alikumbana na chupi ya kike(chafu) na vikaratac vya condom kama vi3, mume katoka kuoga mke amumhoji aliyoyaona, mume anaapa miungu yote kwamba hajui kinachoendelea wala hakuwa na mwanamke huko safarini bali mhudumu wa hotel aliyofikia ndio alimpakia nguo kwenye begi "so may be mhudumu ndio kanifanyia haya" kwa makusudi....
My frnd anam-call shemeji yake shemeji anamjibu tena huku akilia machozi kwamba" shemeji hata mie nashangaa kabisa kuona hiki kitendo, nakuapia shemeji cjui kinachoendelea, naomba tu uongee na mke wangu arudi nyumbani...mke anasema harudi kwa mumewe mpaka amwambie ukweli wa aliyayaona.....
Mie kama mie kwa jana nilikosa la kusema....inawezekana hii kitu jamani, kwamba mtu hajui ndio kwanza na yeye "anashangaa".....
Mi kiukweli kama nikikuta kandom kwa begi la mai waifu wangu, hata kama imetumika na ndani yake bado kuna makamasi kama vijiko viwili vya chai, ntampongeza sana waifu wangu.Kwa kujali afya yake na ya mtarimbo wangu kwa ujumla
Ntatambaa zangu kaunta pale etiens, Viki atanihudumia valeur chupa tatu na safari wota na pepsi. Halafu nikirudi home wife atakipata kile nachokifanya kwenye infidelity. Nikitenguka kiuno potelea mbali, akiteguka mgogo twende kazi, akipumulia masikio mwendo mdundo. Ili mradi heshima ya ndoa irudi pahala pake.
Unamuonea huruma kupata mautamu?ahaa jamani, mie cku hizi nikiona mtu anaolewa mpaka namuonea huruma.
MAJARIBU HAYANA BUDI KUJA LAKINI OLE WAKE.....................Wana JF hotel zina dustbin mwanaume mwenye akili timamu hawezi kufangasha makasha ya condom kwenye bag badala ya kutupa kwenye dustbin, pili si rahisi mwanaume kufungasha nguo za ndani za kimada wake kwenye bag lake HII LAZIMA AMEFANYIZIWA NA INAWEZEKANA ALIYESUKA HII DILI NI MBAYA WAKE NA HUYO MKE WA HUYO BWANA.
NINGEMSHAURI HUYO MKE WA HUYO BWANA AINGIE KWENYE MAOMBI ANGALAU SIKU TISA ILI MUNGU AMFUNULIE WABAYA WASIOPENDA KUMWONA AKIWA KATIKA NDOA YAKE. KUKIMBIA SIYO SULUHU, NA KAMA NI NDOA YA KIKRISTU HAWEZI KUOLEWA MARA YA PILI!!!!!!!
hahahaa.hii kali.inabidi kuolewa tu,hakuna jinsi kwani unaweza bahatisha malaika.....ahaa jamani, mie cku hizi nikiona mtu anaolewa mpaka namuonea huruma.