Hata mimi nashangaa

no comments....I dont get it either....

watu wengine kwa uongo!!! mpaka anauamini uongo wake mwenye... hivi kuna hizo huduma hotelini za kupaki nguo?
 
no comments....I dont get it either....

watu wengine kwa uongo!!! mpaka anauamini uongo wake mwenye... hivi kuna hizo huduma hotelini za kupaki nguo?
ZIPO sana!...
hata huduma za ''kampani'' ya kuangalia tiivii pamoja (chumbani) na mrembo zinapatikana
 
Huyo baba angebanwa zaidi angezikana na nguo zenyewe kuwa hazijui coz aliyempakia begi ni mhudumu! Men...they never cease to amaze me.

hapa mie swali langu ni kwamba kwanini akubali kuwa mzembe kiac hicho mpaka ashindwe kupaki nguo zake mwenyewe.?
 
Tumpe benefit of doubt....

Once a dog always a dog...kama ni muongo atajikwaa tena...sasa sijui mara ya pili atatumia kigezo gani
 
utaelewa tu mbele ya safari...........
back to topic...!HIVI WEWE HUMSHANGAI KWELI???:glasses-nerdy::glasses-nerdy:

Sishangai....thou nashangaa kwa kiasi flani!
sishangai kusikia mwanaume anafanya kitendo kama hicho....
sio mara ya kwanza kusikia cases kama hizo,

Lakini kinachonishangaza ni nini kile wanakosa ndani ya nyumba zao hadi wanaenda kutafuta nje....???
Walilazimishwa kuoa? baadae wakagundua interests hazikuwa zile au...???
Tell me.....wewe unaelewa hapo?
 
hapa mie swali langu ni kwamba kwanini akubali kuwa mzembe kiac hicho mpaka ashindwe kupaki nguo zake mwenyewe.?

Visingizio tu hivyo, hana lolote...just caught with his pants down..... Nafikiri uzembe wake has gone to another level, kwa sababu hiyo ndio ilikuwa excuse yake aliyoitoa anaendelea kukomaa nayo, kama alivyodai mdau mmoja kuwa aendelee kukomaa tu. Vinginevyo shauri jipya la kusema uongo litafunguliwa..
 
hawa ndio wale wadogo zetu walijua ndoa ni utamu mwanzo mwisho, sasa vijimambo kama hivi vikitokea wanashindwa kuhimili mtikisiko.....hata hivyo ni mapema sana jamani kwa mrembo kuyakabili haya.

huyu mwanaume nae alitakiwa awe na aibu kidogo maana just 4months? anagalau wengine tuliyajua baada ya miaka. Huyu binti arudi tu, sa hizi huyo kimada anashangilia ushindi!
 
huyu mwanaume nae alitakiwa awe na aibu kidogo maana just 4months? anagalau wengine tuliyajua baada ya miaka. Huyu binti arudi tu, sa hizi huyo kimada anashangilia ushindi!


Jamani,ingekuwa wanandoa wote wana give up so easily kungekuwa na ndo zenye miaka hamsini????

She has to fight for her marriage and find out what actually happened...she an sort out the problem with the family elders na mwanaume akikosea tena kila mtu abebe cha kwake...!
 
:becky::becky::becky:
nimeelewa
 
Hata mimi namshangaa huyo mwanamke! Namshangaa kwa kweli!

Mpwa tuko pamoja kama kawa kama dawa ila situation ilivyokaa iko tricky kweli si mchezo, duh halafu mhudumu anapakia nguo za jamaa kwenye begi lake mhhh wapi na wapi
 

Yaani hata mimi haya mambo ya kuita watu hayapo siku hizi. mnajimalizia wenyewe chumbani hata kwa Matron sijui bestman hayaendi.
Huyo dogo mwambie arudi nyumbani, au naye alishaichoka hiyo ndoa so alikuwa anatafuta sababu ya kuondoka? amsamehe tu yaishe.
 

Asprin, Msanii, Teamo hebu nisaidieni hapo penye maneno mekundu :confused2:
 
Mwanaume hawezi kukubali kama amefanya hilo kosa. huyo dada arudi tu kwa mumewe kwani hiyo ndio ndoa alifikiri ndoa ni raha tu mwanzo mwisho kuna vijimambo kama hivyo na hata hivyo mbona vidogo? ina maana kila siku atakuwa anakimbia basi itakuwa kazi. Na wewe nyamayao c uko kwenye ndoa na unajua vurugu zote za kwenye ndo si umshauri mwenzio arudi tu kwa mumewe akifanya mchezo atakuta kina da sophy washafanya mambo shauri yake mshauri huyo
 

Alipoingia kwenye ndoa ilibidi ajue hayo yooooooooooooote na kuamua kuwa atasamehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…