Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
Asprin, Msanii, Teamo hebu nisaidieni hapo penye maneno mekundu :confused2:
Ni mdogo wake na friend wangu, tuliyoisheherekea harusi mwezi May, ni jana my frnd ananical ananiambia mdogo wake karudi nyumbani(kwa wazazi).
Mwanaume alisafiri kama 2 weeks kikazi, karudi jmoc ucku, mke kampokea kwa furaha zote kufurahia mume karudi na alim miss pia, mume yupo bathroom mke akawa anafanyia usafi begi na mume alilotoka nalo safari, alikumbana na chupi ya kike(chafu) na vikaratac vya condom kama vi3, mume katoka kuoga mke amumhoji aliyoyaona, mume anaapa miungu yote kwamba hajui kinachoendelea wala hakuwa na mwanamke huko safarini bali mhudumu wa hotel aliyofikia ndio alimpakia nguo kwenye begi "so may be mhudumu ndio kanifanyia haya" kwa makusudi....
My frnd anam-call shemeji yake shemeji anamjibu tena huku akilia machozi kwamba" shemeji hata mie nashangaa kabisa kuona hiki kitendo, nakuapia shemeji cjui kinachoendelea, naomba tu uongee na mke wangu arudi nyumbani...mke anasema harudi kwa mumewe mpaka amwambie ukweli wa aliyayaona.....
Mie kama mie kwa jana nilikosa la kusema....inawezekana hii kitu jamani, kwamba mtu hajui ndio kwanza na yeye "anashangaa".....
Mi kiukweli kama nikikuta kandom kwa begi la mai waifu wangu, hata kama imetumika na ndani yake bado kuna makamasi kama vijiko viwili vya chai, ntampongeza sana waifu wangu.Kwa kujali afya yake na ya mtarimbo wangu kwa ujumla
Ntatambaa zangu kaunta pale etiens, Viki atanihudumia valeur chupa tatu na safari wota na pepsi. Halafu nikirudi home wife atakipata kile nachokifanya kwenye infidelity. Nikitenguka kiuno potelea mbali, akiteguka mgogo twende kazi, akipumulia masikio mwendo mdundo. Ili mradi heshima ya ndoa irudi pahala pake.
Alipoingia kwenye ndoa ilibidi ajue hayo yooooooooooooote na kuamua kuwa atasamehe.
Mi kiukweli kama nikikuta kandom kwa begi la mai waifu wangu, hata kama imetumika na ndani yake bado kuna makamasi kama vijiko viwili vya chai, ntampongeza sana waifu wangu.Kwa kujali afya yake na ya mtarimbo wangu kwa ujumla
Ntatambaa zangu kaunta pale etiens, Viki atanihudumia valeur chupa tatu na safari wota na pepsi. Halafu nikirudi home wife atakipata kile nachokifanya kwenye infidelity. Nikitenguka kiuno potelea mbali, akiteguka mgogo twende kazi, akipumulia masikio mwendo mdundo. Ili mradi heshima ya ndoa irudi pahala pake.
huyu mwanaume nae alitakiwa awe na aibu kidogo maana just 4months? anagalau wengine tuliyajua baada ya miaka. Huyu binti arudi tu, sa hizi huyo kimada anashangilia ushindi!
Mwanaume hawezi kukubali kama amefanya hilo kosa. huyo dada arudi tu kwa mumewe kwani hiyo ndio ndoa alifikiri ndoa ni raha tu mwanzo mwisho kuna vijimambo kama hivyo na hata hivyo mbona vidogo? ina maana kila siku atakuwa anakimbia basi itakuwa kazi. Na wewe nyamayao c uko kwenye ndoa na unajua vurugu zote za kwenye ndo si umshauri mwenzio arudi tu kwa mumewe akifanya mchezo atakuta kina da sophy washafanya mambo shauri yake mshauri huyo
Alipoingia kwenye ndoa ilibidi ajue hayo yooooooooooooote na kuamua kuwa atasamehe.
FP kuna haya maneno inabidi mwanamke ayakumbuke wakati alipokuwa akiyatamka "Nachukua............uwe mume wangu wa ndoa naahaidi kukuheshimu,kukuvumilia katika shida na raha siku zote za maisha yangu
alikumbana na chupi ya kike(chafu) na vikaratac vya condom kama vi3, mume katoka kuoga mke amumhoji aliyoyaona, mume anaapa miungu yote kwamba hajui kinachoendelea wala hakuwa na mwanamke huko safarini bali mhudumu wa hotel aliyofikia ndio alimpakia nguo kwenye begi "so may be mhudumu ndio kanifanyia haya" kwa makusudi....
My frnd anam-call shemeji yake shemeji anamjibu tena huku akilia machozi kwamba" shemeji hata mie nashangaa kabisa kuona hiki kitendo, nakuapia shemeji cjui kinachoendelea, naomba tu uongee na mke wangu arudi nyumbani.
Sishangai....thou nashangaa kwa kiasi flani!
sishangai kusikia mwanaume anafanya kitendo kama hicho....
sio mara ya kwanza kusikia cases kama hizo,
Lakini kinachonishangaza ni nini kile wanakosa ndani ya nyumba zao hadi wanaenda kutafuta nje....???
Walilazimishwa kuoa? baadae wakagundua interests hazikuwa zile au...???
Tell me.....wewe unaelewa hapo?
wakati mwingine namuelewa huyu mdogo wangu, akili zake bado zinamtuma kubembelezwa tu, c ndoa bado changa so ana mapenzi ya wakati ule akibembelezwa kama mchumba? ngoja tumpe muda kwenye hili game atakuja kuwa sterling tu...hili game mchezo?
Hamna wanachokosa, hata uwape mgongo bado atatoka tu nje ya ndoa. cha msingi ni wanawake kutambua kwamba hao waume zetu ndivyo walivyo toka enzi hizo za mababu so cha msingi mdada ukiolewa uwe mvumilivu na kusali kwa sana ili mungu aingilie kati ndoa yako la sivyo mhhhhhhh!!!
ha haaaaaaaaaa, Nyamayao, atuulize sisi tuliokomaa huko. Mambo ya kubembelezwa yaliisha aliposema "I do". sasa inatakiwa awe ngangari kulinda hiyo ndoa......................
Ni kweli hili game siyo mchezo!
ndio kusema?
unachosema ni kweli kabisa,
kumuomba Mungu ndio sahihi zaidi...
na baada ya hapo...focus! obviously kuna watoto na kama hawapo watakuja sometime in future,
let focus be on takin care of those angels and hayo mengine Mungu atasaidia....
ndugu yangu weee na mie jana ckuweza kuongelea sana hili jambo, ndoa yangu jana ilikuwa honeymoon nikautumia muda vilivyo, c unajua ni wa mcmu....lol, nikitulia jioni nitamcal niongee nae kirefu zaidi.