Thailand
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 275
- 795
Itoshe kusema Diamond Platinum ni Mkubwa sana kwenye mziki wa Afrika, tusimuchukulie poa tu kwa kuwa anatokea Tanzania.
TMA mmejitaidi kuandaa tuzo zenu changamoto ipo kwenye namna ya kuaandaa Category ili kuweza kuleta msisimko na hamasa kwa wadau wote wa mziki.
Mimi sipendi hizi timu za wasanii ila wimbo mzuri na msanii mzuri anajulika, Diamond platinum ni msanii namba moja Tanzania anaepeperusha bendera yetu vizuri Afrika na duniani kwa ujumla.
Kwa ukubwa alionao Diamond platinum kumuweka katika category moja na vijana wadogo kama Harmonize, Marioo, Rayvanny, Phina, Jay melody n.k huko ni kumkosea heshima msanii huyu hata ingekuwa mimi ningekataa hizo tuzo.
MABORESHO YA TMA,
kama kweli TMA inataka hizi tuzo ziwe kubwa jitaidini kuzi brand kwa namna ambayo wasanii wa nyumbani mnawaheshimisha kwa kuzingatia ukubwa wao. Sasa kwenye TMA ijayo muuongeze vipengele hivi huku mkiomba wasanii wetu wote kushiriki ili tukuze mziki wetu kwa pamoja.
1. East African best male musician
Haileti picha, hapa East Africa music wa Tanzania ndio kinara halafu maajabu tuzo mnaweka wasanii wa kawaida kutoka nchi nyingine huku hata Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazo unda umoja wa EA. Kwenye hiki kipengele msanii kama
Harmonize
Rayvanny,
Alikiba,
Hawakutakiwa kukosa kwenye hicho kipengele.
2. AFRICA BEST SONG OF THE YEAR.
3. AFRICAN BEST MALE ARTIST OF THE YEAR.
Kwenye hivyo vipengele viwili ndio saizi ya msanii wetu Diamond Platinum huku akichuana na wasanii wakubwa wenzake kutoka nchi nyingine Afrika kama;
1. Barna Boy from Nigeria
2. Davido from Nigeria
3. Kaspa nyoves from SA
4. Fally Ipupa from DRC
5. Wizkid from Nigeria
6. Kizz Daniel from Nigeria
Sasa ili kupromte hizo tuzo zikiwa na hao wasanii giant, BASATA inaandaa package ya kufanya matangazo kwenye kituo kimoja kikubwa huko Nigeria na SA ili kuvutia wafuatiliaji wengi na wapiga kura.
Kwa mnyukano utakao kuwa katika hizo category kuu mbili za Africa zitamsababosha mond aka Simba kutokea Front kwa ajili ya kuhakikisha tuzo inabaki hapa nyumbani.
Hiyo ndio njia ambayo kama ningeombwa ushauri juu ya maendeleo ya TMA ningewashauri wafanye hivyo halafu waone namna Nigeria walivyomstari wa mbele kupush wasanii wao huku watanzania nao hatutakubali kunyanganywa tuzo hii.