Pre GE2025 Hata mkihairisha usafi uko palepale siku hiyo tuungane kusafisha jiji letu

Pre GE2025 Hata mkihairisha usafi uko palepale siku hiyo tuungane kusafisha jiji letu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Sisi wana umoja wa usafi Dar es Salaam naomba tuweke wazi Inasemekana kuna chama kilipanga maandamano kwa bahati mbaya ikagongana na siku ya usafi

tunaomba tuwajulishe hata wakihairisha sisi usafi uko pale pale na tunawakaribisha kuwa pamoja usafi n afya

Mungu ibariki Tanzania na watu wake
 
Back
Top Bottom