Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Mechi imechezwa jana na mjadala ni kuhusu gemu ya jana, leo Kiemba anabadilisha mada eti hata Simba wana timu zao, timu gani imecheza na simba kukawa na mchekea?
Kiemba ameibuka akidai Simba inaachiliwa na Azam? Kuna watu wajinga sana kwenye media zetu halafu wamepata platform ya kupiga porojo tu.
Kiemba ameibuka akidai Simba inaachiliwa na Azam? Kuna watu wajinga sana kwenye media zetu halafu wamepata platform ya kupiga porojo tu.