Hata mkimtumia Amri Kiemba haiondoi ukweli kuwa jana mlipanga matokeo, shame on you

Kinachowachokonoa mbumbumbu ni kutaka YANGA wafungwe ili waseme tulikuwa bize na HARUSI....sasa tumeshinda yanatamani yakalie MKUKI.

na bado
*BUMBAVU sana.
 
Kiemba ni mchezaji aliyewahi kuitumikia Simba Kwa hyo alishaenda field na anajua fitna za mpira wa bongo kwahiyo kauli yake ni ya kweli asilimia 100, Isipuuzwe. Hizi timu za kariakoo hakuna safi hata moja
 
Tumeshakubaliana Kila timu ishinde mechi zake ayo makelele yenu ayatowasaidia tutaendelea kupiga utosini kama nyoka akuna kucheka na kima safari hii,,kiemba yeye ata asipozungumza sisi hizi kazi tunazijua vizuri tuliongea sana mkatuona Amnazo mkajiona ni mafia kuliko tutawaonyesha kudadadeki!
 
Makolo huwa mnashida gani nyie? Akisemwa Yanga ni sahihi akisemwa Simba anaonewa. Haya huyo Kiemba kacheza Yanga, Simba na Azam ametoa ya moyoni unakuja kumponda. Tukisema mnaongozwa na hisia tunakosea?
 
Kiemba alikuwa anayaona hayo mambo kwa macho yake akiwapale Simba,wakati huo wewe upo zako Mpwapwa hata Rage au Dalali au Hanspope hujawahi kuwaona live zaidi ya kuwaona kwenye Tv na kuwasikia kwenye redio
 
Hayo ni maoni yake ambayo hayawezi badilisha ukweli wa kuwa jana mechi ilipangwa!
 
Yanga mfunge ww mbona unauza kesi iliyokushinda?
 
Yanga imewafunga mara 4 mfululizo! Na nyinyi hamkupanga matokeo kweli?
 
Msiwe Buzy sana na Mpira wa simba na yanga ni ujings kufuatilia sana hizo timu.

Mtu mwenye akili hawezi kufuatilia upumbavu wa simba na yanga atakuwa Dissaponted sana.

Msipoteze muda vijana.
 
Viongozi wa Azam wamembua kwanza kacheza miezi 6, kakutana na Simba Mara mbili . Mechi ya kwanza Simba kashinda 1-0 Azam walipata red card kipindi cha kwanza kupitia sure boy mechi ya pili 1-1.
Azam uliwahi kupeleka takukuru wachezaji wake baada ya kuhusu wakipewa hongo na Simba .
Kiemba kaonyesha ukilaza wake.
 

Yaan mikia bhana ndyo maana waliitwa mbumbumbu Yanga ikiongoza ligi yanaanza kelele mara GSM kuzamini timu nyingi mara tutahama ligi halafu kwa kuzihilisha umbumbumbu wao wanajua kabisa kuna timu lao lina wachezaji wa level za chini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…